Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiiiooooo! Haya take note ambao hamjaingia huko ili msifanye makosaaaa!! Nimechukua hii
"Peace of Mind is everything"
Amani kama amani tu ndio msingi wa mambo mengi 👌


😂😂 peace of mind/ stability mtu katoka kazini kavurugwa na kazi zake anafika home unamuwashia sauti eti Amina ni nani 👌

Weeuh 🙌
 
Watu weeeuweeeeeh [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] Enjoy shosssss maisha ndio hayahayaaaaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyooooo.
 
Amani kama amani tu ndio msingi wa mambo mengi 👌


😂😂 peace of mind/ stability mtu katoka kazini kavurugwa na kazi zake anafika home unamuwashia sauti eti Amina ni nani 👌

Weeuh 🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
 
Inasekeeetisha sana [emoji23]

Unamuona mtu Smartii unadhani atakufit, kumbeee… mzoee kidogo uone rangi alizoficha [emoji119]

Dating/ mahusiano na mapenzi its all abt risk,, lakini kwenye hizo risk tunatakiwa tubebe na akili za kufanyia maamuzi.
Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom