Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,277
Ndio chukua hio!!Ndo nichukue hiyo eh?
Kwahio hako ka juu ndio ka kuvalia hilo bwanga kama kalivo?? Hebu piga kwa mbele nione kalivokaa!!
Ndio chukua hio!!Ndo nichukue hiyo eh?
Inabidi nipate ruhusa kwa mchumba Saint Anne nisije achwa bure😅Ni hilo bwanga moja my ex achana na hizo chupi sijui sidiria
Njoo na ww unishikilePole aisee
mshikile yolly basi hatutaki upitie haya tena.
Nili date naye miaka 4 huyo shuga mamy Ila shuga mamy watamu nyie basi mzee alitaka anipe laana ndyo nikaachana nayeHahha toka lini mmeanza dating
Kwani yale magauni kama ya Lizzy umeshamaliza kuninunulia?Inabidi nipate ruhusa kwa mchumba Saint Anne nisije achwa bure😅
Hata siko dukani my dear ni online bz mtu kapost. Yupo ubungo mawasilianoNdio chukua hio!!
Kwahio hako ka juu ndio ka kuvalia hilo bwanga kama kalivo?? Hebu piga kwa mbele nione kalivokaa!!
Hahaaa Saint Anne njoo toa ruksa hukuInabidi nipate ruhusa kwa mchumba Saint Anne nisije achwa bure![]()
Hadi leo nasubiri lipa namba ☹️Kwani yale magauni kama ya Lizzy umeshamaliza kuninunulia?
Hiyo ya kwanza kali sanaMy ex Jack Palladino naomba unilipie moja tu hapo
15kView attachment 2416239View attachment 2416240View attachment 2416241
Imekula kwako dada😂Hahaaa Saint Anne njoo toa ruksa huku
Wa humu nawaogopaNjoo na ww unishikile
Jichanganye kulipa wakati nina shida ya hela chungu nzima.Hadi leo nasubiri lipa namba ☹️
Mchumba Saint Anne umeona mwenzio alivyo mjanja katuma picha ikiwa na lipa namba kabisa😀My ex Jack Palladino naomba unilipie moja tu hapo
15kView attachment 2416239View attachment 2416240View attachment 2416241
Endelea kuwaogopaWa humu nawaogopa
tukutane kitaa
Hahhaa kumbeNili date naye miaka 4 huyo shuga mamy Ila shuga mamy watamu nyie basi mzee alitaka anipe laana ndyo nikaachana naye
Jikoroge tu nakuchekiMchumba Saint Anne umeona mwenzio alivyo mjanja katuma picha ikiwa na lipa namba kabisa![]()
So nikuchukulie hilo?Hiyo ya kwanza kali sana
Mwili wa kuvalia hayo madude nautoa wapi?So nikuchukulie hilo?
Alinipa Gari tatizo yani mm ukinihonga Gari au iPhone namuacha yolly yollyHahhaa kumbe
pole aisee unavyojua kupenda , ulidata kwa huyo mama .

hata sshv