Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabisa... ni bora umjue tabia tuvitu twake tunatwokukera / miendendo yake kwanza hizi akili za kuongozwa na Pussyhead tabu tupu! Mshaanza kuvuliana ndio badae unajutra naroho yako!!
Mapenzi 🙌🙌🙌🙌🙌
Inasekeeetisha sana 😂

Unamuona mtu Smartii unadhani atakufit, kumbeee… mzoee kidogo uone rangi alizoficha 🙌

Dating/ mahusiano na mapenzi its all abt risk,, lakini kwenye hizo risk tunatakiwa tubebe na akili za kufanyia maamuzi.
 
Kabisa... ni bora umjue tabia tuvitu twake tunatwokukera / miendendo yake kwanza hizi akili za kuongozwa na Pussyhead tabu tupu! Mshaanza kuvuliana ndio badae unajutra naroho yako!!
Mapenzi 🙌🙌🙌🙌🙌
Asante Madam
well said
 
Naam, naam!
Screenshot_20221113_204752_Spotify.jpg
 
Cha muhimu ni kutojifanya kuwazoea au? 😂 Dah mashemeji wamekosa dawa ya kudeal nao
Ukauzu muhimu
Yeah mnaongea casual tu hamna kuzoeana Ile deep .

Usiombe ukutane na mtu yupo na best friend wa kike .
mkimeet watatu for dinne anakunyali tu.
 
Back
Top Bottom