National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Na picha mjomba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Leo selfika mmechachukaaa!!Eneseketesha sanaaa 🤣🤣🤣 kwamba akaona sina akili lol
Huyo sio wewe bana 😂😂😂Kwaiyo ndio umeamua nisema live 🥲🥲🥲
Sio lazima babeKwan lazima kila unaye date nae muoane?
Dah! Nilitaka kuanza 😭😢😢 kumbe nina tu akiliHuyo sio wewe bana 😂😂😂
😂😂😂 yan acha kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Ndiomana wanakwambia ishi/ kaa na mtu umjue!! Khakhakhaaaa....
😂😂😂Eneseketesha sanaaa 🤣🤣🤣 kwamba akaona sina akili lol
Unazo 👌Dah! Nilitaka kuanza 😭😢😢 kumbe nina tu akili
😂😂😂Ukipendwa kila siku unaona ni mwisho wa mwezi yolly yolly
Haya maombi yenu x wangu anafanya mtihani wa Form four keshoView attachment 2415723
😅😅😅 sasa hunidekezi ndio shida, kuna kipindi ulinidekeza ukajisahahu ndio ulipo tingisha dishi na moyo .. vikaumana 🤣🤣Unazo 👌
Mtu asipoyatingisha mapigo yako ya moyo yaan you are sooo sweet 😂
Kabisa... ni bora umjue tabia tuvitu twake tunatwokukera / miendendo yake kwanza hizi akili za kuongozwa na pussyheadhiziiii tabu tupu! Mshaanza kuvuliana ndio badae unajutra naroho yako!!😂😂😂 yan acha kabisa
Uzuri wa mkakasi, kumbe ndani kipande cha mti
Naam, naam!
Umeamua kutuua mbavu leo 🤣🤣🤣🤣!!Dah! Nilitaka kuanza 😭😢😢 kumbe nina tu akili
Njema sana mkuu Tumekumisss hebu kuja tubless Usiku wetu uishe vizureee basiii!!Habari za jioni wanaselfika wote!
😂 Boss lady cku yako imeendaje lakini huku jua kali sana cjui nyie huko.Njema sana mkuu Tumekumisss hebu kuja tubless Usiku wetu uishe vizureee basiii!!