Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,790
Ashindwe kulia msiban anililie mmNitakuwa nawe ndio
Usiwaze tu , ila yolly si atakulilia.
Ashindwe kulia msiban anililie mmNitakuwa nawe ndio
Usiwaze tu , ila yolly si atakulilia.
hahaha utamuacha na majonziAshindwe kulia msiban anililie mm
Mideko 🤣🤣 umeifufufa hii, dah hiko kiatu hata sahii sina 🙃Uliza kiatu...View attachment 1946870
Mmxxcieeewww hebu niamkie huko!!Marahaba, hujambo
Atajua mwenyewe hata mm nilishaachwa kanisan bibi harusi hakutokeahahaha utamuacha na majonzi
kila siku huzuni ,ukiangalia ni finalist wa tu


Marahabaaaaa!!🤣
Shikamoo dada
Ujaenda kwenye mitihan mdogo wanguMarahabaaaaa!!
Iache niendelee kuionaNisiitoe ee 😋
Niende nahili gundu nililonalo🙄🙄! Nipo tu nakula chaki hapaaa!!Ujaenda kwenye mitihan mdogo wangu
Mkemia nakuona.Niende nahili gundu nililonalo🙄🙄! Nipo tu nakula chaki hapaaa!!
Forever and always mkuuu😘 umetususa hadi sio poa ujue!!Mkemia nakuona.
Tatizo una date na watu wenye nyota ya bundi unaloNiende nahili gundu nililonalo! Nipo tu nakula chaki hapaaa!!



Tupo pamoja mkuu 🤣🤣Forever and always mkuuu😘 umetususa hadi sio poa ujue!!
Wamekuelewa 🙂Dear Ladies 🤸View attachment 2416164
Ndiiiooooo! Haya take note ambao hamjaingia huko ili msifanye makosaaaa!! Nimechukua hiiDear Ladies 🤸View attachment 2416164
Tubless kwanzaaa kitambo sana tushakusahauuuuu...Tupo pamoja mkuu 🤣🤣
Ngoja nitafute maji ya kuoga kwanza ili picha itoke vizuri 😅Tubless kwanzaaa kitambo sana tushakusahauuuuu...
Fanya hivoooo haya nasubiria hapaaNgoja nitafute maji ya kuoga kwanza ili picha itoke vizuri 😅