cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,291
Hahaha 10 years jamani hapanaKm hakukuwa na makubaliano ya kuoana au ndoa, hata mkidate 10 yrs na kumwagana hapo hakuna lawama au kero.
Eti jamani ? Hapo si mtu utakuwa shindikanaa wa kimataifa 😂😂 ndo mtoto wa mtu tena anashindwa kukuweka ndani.Kwamba miaka yote hio humpi hio peace of mind tu asikufikilie kabisa!!🤣🤣🤣?
Mhh labda kwako unaweza..Sasa c hakukuwa na makubaliano ya ndoa au kuoana dyadya,![]()
Kwahio Hapo kwa peace of mind ni mwanamke pekee ndio ana hilo jukumu au kwa Asilimia kubwa hebu nipashe miee wanaume wenyewe wa kubembelezaa🤔🤔🤔🤔Eti jamani ? Hapo si mtu utakuwa shindikanaa wa kimataifa 😂😂 ndo mtoto wa mtu tena anashindwa kukuweka ndani.
Ten yrs mbali, hapo tu 5yrs ni mzikii mzito kufika mkiwa mnahave fun,, labda iwe alikuweka ndani ukashindwa kuprovide peace of mind 😂
Unazeekea hapo hapo aiseeMhh labda kwako unaweza..
The point of having fun, no strings attached mwisho mwaka 1 tu. Mkizidi sanaaa, yan mkanogeana sana basi msizidishe mi3
10yrs umeshikiliwaga tu na mtu ambaye hana future? Haha hapana aisee
Ujenzi wa mahusiano/ ndoa hizo stability pasee kubwa inaangukia kwa mwanamke..Kwahio Hapo kwa peace of mind ni mwanamke pekee ndio ana hilo jukumu au kwa Asilimia kubwa hebu nipashe miee wanaume wenyewe wa kubembelezaa🤔🤔🤔🤔
Eti jamani? 10yrs having fun na mtu inatakiwa uwe umejikataa kweli kweli..Unazeekea hapo hapo aisee
una miaka 28 uje utoke na mtu 10 years ukishtuka upo na 38 unakariabia kuanza menopause.
labda muwe mezaa
Mbona mm nadate na mtu ananizidi miaka 16Unazeekea hapo hapo aisee
una miaka 28 uje utoke na mtu 10 years ukishtuka upo na 38 unakariabia kuanza menopause.
labda muwe mezaa
Ndio ndiooooooooo kumbe!!!! Ngoja nishikilie sweetdaddie Wangu miee aweeee💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸!!!Ujenzi wa mahusiano/ ndoa hizo stability pasee kubwa inaangukia kwa mwanamke..
Wanasema mwanaume nj kama mtoto, eti tuwalee 😂
Hapo kun vitu vingi sana, sijajua ni kipi hapo?My ex Jack Palladino naomba unilipie moja tu hapo
15kView attachment 2416239View attachment 2416240View attachment 2416241
Ni hilo bwanga moja my ex achana na hizo chupi sijui sidiriaHapo kun vitu vingi sana, sijajua ni kipi hapo?
Hio ya kati yenye njano njano nimeielewaaa!! 😍😍😍My ex Jack Palladino naomba unilipie moja tu hapo
15kView attachment 2416239View attachment 2416240View attachment 2416241
Hapana aisee hata hivyo utamkimbia tu .. ukicheki wenzako getting kids , married pia , unatamani mwenyewe .Eti jamani? 10yrs having fun na mtu inatakiwa uwe umejikataa kweli kweli..
Au ndio uwe kama wale wasio na mpango wa kuzaa na kuolewa.
Yeye tu yuko duniani kula zake rahaa
Ndo nichukue hiyo eh?Hio ya kati yenye njano njano nimeielewaaa!!![]()
Pole aiseeMwaka juzi![]()
Hahha toka lini mmeanza datingMbona mm nadate na mtu ananizidi miaka 16