Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijawahi experience hizo mambo za kuzidi mwaka na nusu…
Kwa hapo sielewi maumivu yake yakoje…

Nasemea zile case za gf na bf, mwagane kwa kushindwana wao kitabia then victim aonekane gf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uko sahihi kabisaaa,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataman kumuuliza kabila lake naogopaaa, lisipokua pendwa kwangu hata mawasiliano ntakata nae.
😂😂😂 nilimuelewaga mtu
Nikamweka kwenye target, akajaaa
Lol kuwa karibu nae vile ndio nikajua hana akili nzuri

Nilikimbiaaa
 
Sijawahi experience hizo mambo za kuzidi mwaka na nusu…
Kwa hapo sielewi maumivu yake yakoje…

Nasemea zile case za gf na bf, mwagane kwa kushindwana wao kitabia then victim aonekane gf
mie hata miezi 6 sijawahi kufika , umbeya tu unaniwasha hapa.

kwa case hizo gf ndo anaumia sana aisee maana anaweka matarajio makubwa kuliko Me

mostly me wana hit and run tu na wao hawapo na feelings Kama ke
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nilimuelewaga mtu
Nikamweka kwenye target, akajaaa
Lol kuwa karibu nae vile ndio nikajua hana akili nzuri

Nilikimbiaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mie huyu mtu yuko vizuri na namkubali haswaaaa,. Tatizo linakuja tunasoma class 1 isije ikafka yale yale ya mtu wa hovyo.

Binadamu hachelew kubadilka.
 
😂😂😂 heri hata mwaka jana you were so friendly and sweet.

Hii 2022 umekuwa kinara wa ugomvi
Sijui kwann hatuchuniani pamoja na kutukanana kote kule 😂😂😂🙌
🙂🙂 ndege wafanano huruka pamoja hata kama wata donoana baada ya mda utawakuta tena wanacheza na kurishana na kufurahi...

2022 umekuwa mwaka dume kweli kweli ndio maana nahisi 😅😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mie huyu mtu yuko vizuri na namkubali haswaaaa,. Tatizo linakuja tunasoma class 1 isije ikafka yale yale ya mtu wa hovyo.

Binadamu hachelew kubadilka.
Mweke kwenye friend zone umsome ,, kama ni wa hovyo sana utanusa harufu
 
Back
Top Bottom