Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Wigelekelo kuna nini kipo kati yenu na Saint Anne
Ni kapepo Fulani kanakotaka kunivunjia mikeka yangu😂😂😂Wigelekelo kuna nini kipo kati yenu na Saint Anne
Humo ndani kuna namba 2 za Chelsea
Me sahivi nashabikia mpira, sishabikii team






wee mie siweziiiii. Yaan kila nikijaribu nashindwaaa.Ngoja muisome namba kwanza🤣Wamemuondo jamaaa aliyeipenda Chesii kwa moyo wake 😂
Banaa me sitaki
Hebu nipe picha kwanza..Ni kapepo Fulani kanakotaka kunivunjia mikeka yangu😂😂😂
Na mchumba wangu Jack Palladino
Ya nani?Hebu nipe picha kwanza..
Huku mvua toka asubui
Weekend ipo poa vipi wewe ?
Ya wigeYa nani?
Lol hongereni na polenii sis... Huku leo naona imetusamehe walau nguo zikauke!Huku mvua toka asubui
Zile nyimbo za Mwansanzu unazijua?Ya wige
Hahaha cha upole Cocanikiwaga mpolee had watu hawaamini km ndo mie
Mi nguvu za kudai picha huwa sina, hebu nipe picha..Zile nyimbo za Mwansanzu unazijua?
Nguo zake ndo hizohizo
Nachanja mbugaHuku mvua toka asubui
Pole sana mkuu, mmekosana nini?Ni uchungu
😂😂
Huyo hajui formula ya kudate na mume wa mtu huyooo!!!Ni uchungu
😂😂
Ila wewe huwa unaenjoy nguvu zangu ninazotumia kikudai au sio😂Mi nguvu za kudai picha huwa sina, hebu nipe picha..
🙌😂😂😂😂😂Ni uchungu
😂😂