Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mijamas haifai aiseeHilo li jamaa au lichepuko la hivyo la nn sasa, ni kulitupia huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wanakutumia then dump you
Mijamas haifai aiseeHilo li jamaa au lichepuko la hivyo la nn sasa, ni kulitupia huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 ndio maana wanasemaga block X once you breakup[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu linategemea linakuumiza, huwa nali suprise.
"Yes ulinikazaaa, na nlikua happy haswaaa, na hata sahiv yupo mwingine ananikazaa, vipi hujapata bado wa kumkaza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akanambia "aliye kuroga amekufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] genius hatakuwa romantic huyu, anawaza masomo tyuuh, sasa drama zang ataweza?labda nyie aisee [emoji23]
wewe na genius wako.
😂😂😂😂 sasa unafanyaje ndo kamekuja? Kametoka Mwanza mpaka SingidaTwin kama kawa, 😀😀😀😀 maandalizi yooote alafu kaje kamoja isingekubarika 🤣🤣
😂😂😂😂 sasa unafanyaje ndo kamekuja? Kametoka Mwanza mpaka Singida
Chuo mnamaliza soon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] genius hatakuwa romantic huyu, anawaza masomo tyuuh, sasa drama zang ataweza?
Najuta kudate na mtu yuleee, sirudii tena kudate na li mtu la hovyo hovyo, sijui nilikwamaa wapiii hata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana wanasemaga block X once you breakup
Sema me siwezagi yan kuanzisha uadui
Wanakutumiaje Tin na ww ulikuwepo wakti wa matumizi 😂😂 mlitumianaMijamas haifai aisee
wanakutumia then dump you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataman kumuuliza kabila lake naogopaaa, lisipokua pendwa kwangu hata mawasiliano ntakata nae.Chuo mnamaliza soon
Mambo ya masomo yataisha
atakuspoil hadi uombe poo
Kuachana na mtu sio uadui, maisha yana mengi😂😂😂😂😂 ndio maana wanasemaga block X once you breakup
Sema me siwezagi yan kuanzisha uadui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo km mie wallah. Nashindwa kuelewaaaa.Wanakutumiaje Tin na ww ulikuwepo wakti wa matumizi [emoji23][emoji23] mlitumiana
Sema binafsi sijawahi kuelewa concept ya jamii kumuona KE as victim kwenye suala la mikazo na dump's[emoji23][emoji23][emoji23]
Ma mtu ya hovyo at first ni ngumu kunotice 😂 unajikuta tu ndio ushatumbukia pasipoNajuta kudate na mtu yuleee, sirudii tena kudate na li mtu la hovyo hovyo, sijui nilikwamaa wapiii hata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan halijui kuachika,
Ndio mnaenjoy wote jamani lakini sio fair unaachwaje wakati umenogewa .Wanakutumiaje Tin na ww ulikuwepo wakti wa matumizi 😂😂 mlitumiana
Sema binafsi sijawahi kuelewa concept ya jamii kumuona KE as victim kwenye suala la mikazo na dump's😂😂😂
Dunia ngumu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo km mie wallah. Nashindwa kuelewaaaa.
Hahah muulize[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataman kumuuliza kabila lake naogopaaa, lisipokua pendwa kwangu hata mawasiliano ntakata nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kwa yule mtu had huwa najiuliza mie kwa yule nlifuata nn? Nilikosea wapi.Ma mtu ya hovyo at first ni ngumu kunotice [emoji23] unajikuta tu ndio ushatumbukia pasipo
Hujawahi kuachika? [emoji23] huyo alikuwa anapata ugumu kuachilia
Kwan lazima kila unaye date nae muoane?Ndio mnaenjoy wote jamani lakini sio fair unaachwaje wakati umenogewa .
Imagine dating na mtu for three years akuache aoe mwingine .. haijanitokea but that shit hurts jamani .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopaaaaHahah muulize
ujue la kufanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dunia ngumu sana
Sijawahi experience hizo mambo za kuzidi mwaka na nusu…Ndio mnaenjoy wote jamani lakini sio fair unaachwaje wakati umenogewa .
Imagine dating na mtu for three years akuache aoe mwingine .. haijanitokea but that shit hurts jamani .