Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mie hata boyfriend wa mtu siweziAisee ila kudate na mume wa mtu dhambi 🥲
Labda nisijue
my level of jealousy is next level 😂😂
Mie hata boyfriend wa mtu siweziAisee ila kudate na mume wa mtu dhambi 🥲
Labda nisijue
Kwaiyo mnatutishia tusiingie kwenye ndoa🤣🤣🤣 shetani ashindweNdoa zina mengiii wadogo zanguuuuuu nyieee!!! !!
Hapana aiseenilisikia kama kuna hio couple...
Nikubalie basi 🤣🤣🤣Heheheeeeee Hebu nicheke mie!
komaa mkuu..Nikubalie basi 🤣🤣🤣
Ndoa na iheshimiwe nawatu woteeeKwaiyo mnatutishia tusiingie kwenye ndoa🤣🤣🤣 shetani ashindweView attachment 2415547
Unaongea na mie au Saint Anne mjomba??? 🤔🤔😉😉Nikubalie basi 🤣🤣🤣
Nakomaa kibishi bishi japo hanitaki kabisaa, ila haturuhusiwi kukata tamaa 😀😀komaa mkuu..
Kizazi hiki na ndoa ni balaaNdoa zina mengiii wadogo zanguuuuuu nyieee!!! !!
Aisee, ila bado unampenda?Kho kho huyo mbona hafurukuti..
Usinitupe kisomi hivyo shangazi 🤣🤣🤣Unaongea na mie au Saint Anne mjomba??? 🤔🤔😉😉
KumbeeeeeeeeKho kho huyo mbona hafurukuti..
Karibu bwana shemeji 🙂🙂Kho kho huyo mbona hafurukuti..
Wanapendana🔥Aisee, ila bado unampenda?
KhaaaUnaongea na mie au Saint Anne mjomba??? 🤔🤔😉😉
Si na sie twajitia tuna shida sana dear sijui ndio kuendekeza njaa there is no free lunch ohoooooo!Kizazi hiki na ndoa ni balaa
tufanye tu mambo mengine ..kupata tu mtu anayekupenda kwa dhati ni kazi ... watu wanataka utamu tu .
Kwanza atakayekuwa na mume wangu ajipange sana nisimjue alooooMie hata boyfriend wa mtu siwezi
my level of jealousy is next level 😂😂
🙆🙆 Nitengeneze na mimVinaharibu Sana vidole.
Cha sita hiki natengeneza.
Acha kutuzugaHeheheeeeee Hebu nicheke mie!