Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi pua haiwashi ila zinaziba,hazipotishi hewa vizuri.
Kuna nyama ndani ya pua zinavimba hadi zinapelekea hewa kutokupenya vizuri.

Kama wagonjwa wengine wa aleji za nyama,samaki..nk
Sisi pia tukikutana stimulus kama vumbi,uvundo,perfume,manyoya ya paka nk hivi vitu vinastimulate hali ya kuvumba.
Hali ni ngumu kutoka maana vumbi,harufu ni kitu kisichokwepeka maishani.
pole jamani
hiyo allergy mbaya na inatesa .
 
Back
Top Bottom