Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkilala mniombee.. PS natoka iringa,

View attachment 2366120
Umeacha message za mdada tu, zako umefuta we shenz, hutaki tuone ulivyokuwa unajilizaliza na kubembeleza usiachwe, kwamba utateseka 😁😁😁 mwanawane mzabzab njoo umuone huyu anataka maombi baada ya kuachwa, badala atuchukue wana tukale manyama na mabia
 
Baraka inapotoka kwa Mungu lengo lake ni kukufanya umpende Mungu kupitia wenzako.”
Mbarikiwe sana [emoji120][emoji120]
Acheni mapenzi yaitwe mapenzi nyie mlio single unakula chakula ili iweje sasa bora mfe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajisifia wee, demu mwenyewe cha wote huyo 🤠🤠🤠
 
Kisabato zaidi
IMG-20220924-WA0117.jpg
 
Umeacha message za mdada tu, zako umefuta we shenz, hutaki tuone ulivyokuwa unajilizaliza na kubembeleza usiachwe, kwamba utateseka 😁😁😁 mwanawane mzabzab njoo umuone huyu anataka maombi baada ya kuachwa, badala atuchukue wana tukale manyama na mabia
Nyoko we 😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom