Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,844
- 16,095
[emoji16][emoji16] linapojuja swala la kambi kwaajili ya maombi pale church kiukweli nikiwekwa orodhani huwa napatwa na excuse kibao [emoji16] Yani sijui kama nitakuja kuweza MTU anafunga siku ya Tatu jicho jekundu kama linatoka mambo ya kumaliza Tatu kavu thenYah!
Hata kwenye huduma tunazoenda,kunakuwa na mgawanyiko;
Wengine ni special Kwa ajili ya maombi tu power room..hawafanyi kazi nyingine yoyote.
Wengine akina sisi kuzunguka mitaani kuhubiri..kuruka kwenye mapambio huko.
Hata watumishi wanaofunga hizo kavu wana utaratibu wao mzuri wanajiwekea.
Sasa mwenzangu na mm niende tatu kavu,si watakufa nimezimia kwenye kashkash za kupigania mwendokasi pale kivukoni.
Unaenda kuwekewa drip alafu ukute sukari imeshuka
Sio poa.