Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

umenitamanisha , kinavutia
mwenzio nakula saa moja
Hiki Cha juzi.

Recently nimepoteza hamu ya kula...napata shida..inafika usiku sijala chochomote tangu asubuhi .
Inabidi nikaange viazi Nile ili njaa isije kuniua.
 
nguvu pia zinakuishia
dry mouth
aisee hatari tupu
kuna vidawa vya wachina vilikuwa vidogo kwenye kachupa ukinusa tu yamepotea
Ile ya kuweka puani?

Tumia pia nasal spray,japo naonaga mafua yakishakua makali hazifanyi chochote.

Hapo dawa ni zoezi na hizo Coldrill..Zile Toff plus ganda lake linasabisha kifua kubana .

Mafua yanapausha
Mimi huwa Nina cetrizen muda wote .nikiona tu dalili huyooo najiwahi.
 
Hiki Cha juzi.

Recently nimepoteza hamu ya kula...napata shida..inafika usiku sijala chochomote tangu asubuhi .
Inabidi nikaange viazi Nile ili njaa isije kuniua.
ooh pole sana
mie nilikuwa karoho jioni situlii hadi nipate kanyama aise nimeacha juzi tu hapa .

najisemea moyoni inabidi nibadilike nitafunga kweli kwa stye hiii .
 
Anza mazoezi taratibu..6hrs
10hrs then 12 hrs

Mm fasting imekuwa ratiba yangu ..yaani hata siku nisizosali bado nafunga tu.
Nataka nianze ya 24 hrs..maana 12 hrs naona kawaida...
Inafika muda wa kufungua nakuwa Sina njaa.
 
Ile ya kuweka puani?

Tumia pia nasal spray,japo naonaga mafua yakishakua makali hazifanyi chochote.

Hapo dawa ni zoezi na hizo Coldrill..Zile Toff plus ganda lake linasabisha kifua kubana .

Mafua yanapausha
Mimi huwa Nina cetrizen muda wote .nikiona tu dalili huyooo najiwahi.
ya kuweka puani ndio
haya mafua nimejitafutia mwenyewe nilikaa kwenye baridi usiku huku nmevaa kikata mikono .

asante kwa ushauri dear
 
Anza mazoezi taratibu..6hrs
10hrs then 12 hrs

Mm fasting imekuwa ratiba yangu ..yaani hata siku nisizosali bado nafunga tu.
Nataka nianze ya 24 hrs..maana 12 hrs naona kawaida...
Inafika muda wa kufungua nakuwa Sina njaa.
12 hours naweza ila huko kuendelea aisee sijui inabidi nijarbu .
ukiweza 24 hours ni rahisi kwenda tatu kavu
 
Ile ya kuweka puani?

Tumia pia nasal spray,japo naonaga mafua yakishakua makali hazifanyi chochote.

Hapo dawa ni zoezi na hizo Coldrill..Zile Toff plus ganda lake linasabisha kifua kubana .

Mafua yanapausha
Mimi huwa Nina cetrizen muda wote .nikiona tu dalili huyooo najiwahi.
Cetrizine ndo dawa ongezea na prednisolone iyo kiboko inakausha kabisa mafua.
 
Mkilala mniombee.. PS natoka iringa,

Screenshot_20220924-012302.png
 
Anza mazoezi taratibu..6hrs
10hrs then 12 hrs

Mm fasting imekuwa ratiba yangu ..yaani hata siku nisizosali bado nafunga tu.
Nataka nianze ya 24 hrs..maana 12 hrs naona kawaida...
Inafika muda wa kufungua nakuwa Sina njaa.
siku ya kwanza nafunga nilikuwa grade three , nilizimia
mama alikuwa ananionea huruma ananiambia njoo ule , nusu siku inatosha
 
12 hours naweza ila huko kuendelea aisee sijui inabidi nijarbu .
ukiweza 24 hours ni rahisi kwenda tatu kavu
3 kavu hata Kwa bunduki siendi.

24 hrs nakuwaga kama mbwa mgonjwa ile muda wa kufungua.

Acha niishie 15hrs.
 
Back
Top Bottom