Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba surualiiiiiii, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Hakika Dar ni Chuo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ukichukua hiyo nitabaki na nini sasa?
Ndio hiyohiyo Moja😂
Hivi hapa nilitaka kuandika kuwa Coca nigawie dadako suruali angalau nibadilishe maana hiyo ni kauka nikuvae.
 
Ukichukua hiyo nitabaki na nini sasa?
Ndio hiyohiyo Moja[emoji23]
Hivi hapa nilitaka kuandika kuwa Coca nigawie dadako suruali angalau nibadilishe maana hiyo ni kauka nikuvae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mie lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kweli post zangu mpya na baby girl sweetheart wangu mpya txt zetu zichanganyikane na watu wa tecno, inifinix, oppo,hapana usiku mwema
Acha nikadekezwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaolala kama panga muote ndoto mnakimbizwa na panya road [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Chizi wewe😂
 
Back
Top Bottom