Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
haha nimechekaSina mpango wa kuolewa na watumishi[emoji16]
Habari za kufunga wiki kavu halooo[emoji23]
Namshukuru tu Roho Mtakatifu hapa nilipo...Panatosha.
sio mchezo kuwa mama mchungaji .. nilikuwa natamanigi zamani wakti nipo so innocent .