Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weraaa weraaa [emoji298][emoji91][emoji322][emoji322][emoji322][emoji323][emoji323]fitina za Atoto zimeshindwaaaa... Zimechukuliwa na upepo wa kisulisuliiiii.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena bila daliliiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji109][emoji117][emoji109]
Sasa kama hiyo ya monchwari inatisha hivo na bado sijakukataa, ni ipi inatisha zaidi itakayofanya nikukatae? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nishangae tuu, Watu8 ameniambia niendelee kufyetua watoto nitanenepa.

Ila nina wasiwasi mimi ni mchaga nisije kunenepa tumbo na nyonyoz tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli hebu fyatua mdogo wangu. Dada nipo nitakusaidia kulea.
Sio wachaga wote hunenepa bila mpangilio, wapo visu hatari, nawe ni mmoja wao[emoji7][emoji7][emoji7]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa uchaguzi umeisha kampeni ya nini tena et[emoji134][emoji1745]
Hapo sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baada ya uchaguzi kuisha na kushinda ni kuonesha rangi zako halisi tuu.
 
Back
Top Bottom