Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio nashangaa yaani unajuaje kuwa umekonda[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Nishangae tuu, Watu8 ameniambia niendelee kufyetua watoto nitanenepa.

Ila nina wasiwasi mimi ni mchaga nisije kunenepa tumbo na nyonyoz tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeshaanza kukipenda kitambi kiache.
Halafu shida sio kutoa kitambi shida ni pale uwanjani, wadada wana machuuuuuraaa makubwa, na wakija mazoezi wanakuwa wamevaa vi tight vimewachora sana wakati mimi huku hamna chura.

Sasa wewe kama unataka kitambi kiishe, nitakupa stress wiki tuu kitambi na hiyo miguu imeisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale mie hata hawanistui... mimi chura hata siziangaliii. Si ulisha kataza? Au umesahau
 
Back
Top Bottom