Ngoja kaka ako lizaraz... aje tehMuda utatoka wapi kama wote ni ma breadwinner HS? Ili niweze kuwa na muda nae inabidi nikae nyumbani aniletee chakula, sasa saa 12 tunatoka nyumbani wote, nikitoka kazini hadi nifike nyumbani ni saa mbili kasoro. Tukifika yeye ananyooka kulala mimi naingia jikoni kupika.
Anakula, anarudi kulala.
Hapo naanza kuanza kumnyooshea nguo za kesho na za mtoto za shule ndio na mimi nikalale.
Naanza kushika namba saa ngapi![]()
Hilo kanisa utakuwa wewe na mchungaji tu basi.Kuanzia waniamini mimi jamani

Dah!!!
We jamaa unaweka picha za maeneo wengine ndio ugonjwa wetu
Kivipi? Kwani bar maid sio mwanamke?Umenidharau sana
Babe huwa hakusemi?maana wanaume siku hizi bhana hawana haya, utasikia hivi mbona wewe haunenepi, umemeza malboro nini
![]()
Hongera.
of all people, sio wewe wa kuninunia. Afya yangu unaijua
![]()




Ha ha ha ha zamani tukiwa ma "boyfriend na girlfriend " ndio nilikuwa najua.Hadi usijue namba ya kiatu ya mume![]()





Nani alikufundisha ubishi etiAah wapi![]()
Nakwenda.Kwenda zako
Ha ha ha ha zamani tukiwa ma "boyfriend na girlfriend " ndio nilikuwa najua.
Tangu nimeolewa kwisha habari![]()






Kaka shemeji naomba raba nami nikakate kitambi.
Nakazia mimi jamaniMwana hebu tupia hata ukucha tu tafazali