Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
Etiii 😋😋[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]raving ravioli...
Etiii 😋😋[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]raving ravioli...
Keep Enjoying [emoji4]
Eeh nitakuja kuchukua tuition kidogo
HahahahaahahHahaha...
Kwa hiyo anasoma cell ID 0319, site name Kilema, Op Voda
Hahaha hivi toka unipe zile taraka tatu;Niko singo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Woyoooooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Auntie baki mjiniii
Etiii [emoji39][emoji39]
Unipitie na mimiEeh nitakuja kuchukua tuition kidogo
Nimeshaanza kukipenda kitambi kiache.Hahaha kikizidi shida. Si ni wewe ndio unakipigia kelele deile
HallelujahMpango Still On.....labda ubadilishe msimamo[emoji2]
Mpango Still On.....labda ubadilishe msimamo[emoji2]
Wallah mjini pamekupendaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sitakiiii
Of courseYah nimekuelewa [emoji23][emoji23] siyo wote lakini
[emoji23][emoji23][emoji23]Hajakosea hata kidogo kujiita hivyo.
[emoji125][emoji125][emoji125]
Nimeshaanza kukipenda kitambi kiache.
Halafu shida sio kutoa kitambi shida ni pale uwanjani, wadada wana machuuuuuraaa makubwa, na wakija mazoezi wanakuwa wamevaa vi tight vimewachora sana wakati mimi huku hamna chura.
Sasa wewe kama unataka kitambi kiishe, nitakupa stress wiki tuu kitambi na hiyo miguu imeisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahahaHahaha hivi toka unipe zile taraka tatu;
Hutaki wakuopoe tena.
FelisterNimemuona Sakayo anachange $ afu anadanganya yupo Muheza View attachment 1257765
Hallelujah