






dada wa mieeeee. wewe ndio umechukua na miguu ambayo ingekuwa yangu. Matokeo yake nina miguu kama njiti.







dada wa mieeeee. Jizazi hadi nimetetemeka.Felister
wewe ni bank teller hapo ?
Ni picha tu nilivyoipiga auntie, ila ni mironjo.Wallah mjini pamekupendaaa
Halafu kusingizia nimechukua miguu yakoo
Nimemuona Sakayo anachange $ afu anadanganya yupo Muheza View attachment 1257765








Hahaha ila we Dada wewedada wa mieeeee.
wewe ndio umechukua na miguu ambayo ingekuwa yangu. Matokeo yake nina miguu kama njiti.
Tatizo vijana ni wagumu kuelewa.Yeah kabisa
We ulivyoamua kuwa kamodal ulitegemea nini? Tulipewa kulingana na miili yetu.dada wa mieeeee.
wewe ndio umechukua na miguu ambayo ingekuwa yangu. Matokeo yake nina miguu kama njiti.
Haiwezekani aki auntie wanguNi picha tu nilivyoipiga auntie, ila ni mironjo.
Hivi na wewe unaendaga mazoezi?
Iko wapiii kakaa
Usidanganye watu aisee.
Nasema hiviii, niko muheza mimii
Nianze kukuita wifi yangu eeehhhAmeeen
Tatizo vijana ni wagumu kuelewa.
Hahaha...wasalimie magoroto my sweet potato...Hahahahaahah
Niko Muheza![]()