Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Bora hata umejiongeza jamaniUkute hela za kikoba hizo ...
Sakayo atakuingiza mjini [emoji1787]
Bora hata umejiongeza jamaniUkute hela za kikoba hizo ...
Sakayo atakuingiza mjini [emoji1787]
Na afute comment yakeAiseee... mnaitaja majina tena
Umeona hiyo ese mdogo wako alivyo andika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawaa. Ila hivo ulivochagua sio vizuri, niruhusu nikuchagulie vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]@cute b uniletee viatu vyangu tafadhali.
Muache tu ahangaike, asijemtafuta mchawi baadae. Anadhani hao tukunyema hukuwaona?Mwambie hiyo njiti ndio naipenda mie...!asitake makuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni shida sana.Unajua vile sipendi upate shida right? Talk to me baby.
AmeeennSawa mhazini.
Bwana asifiweee
Jamani jamani, natoka kazini mimi[emoji134]
Bibi kijumbe 😂Ukute hela za kikoba hizo ...
Sakayo atakuingiza mjini [emoji1787]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Na huyo panya yuko Moshi atavitafuna vyote. Nakuja kuvichukua mwenyewe mkwe.
Kabisa, maji ya kunawa unamuonesha kwa mguu, asijifanye mlemavu huko.Hapo sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baada ya uchaguzi kuisha na kushinda ni kuonesha rangi zako halisi tuu.
Kweli? Kama mara ngapi? Moja tuu au mbili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe haki akili yako unaijua mwenyewe.Wale mie hata hawanistui... mimi chura hata siziangaliii. Si ulisha kataza? Au umesahau
Ndio mama, on the way to mjini ulipo.Sawa tuu
Ushatoka mjini
Uliondoka nao wewe, au umesahau jamani
@cute b uniletee viatu vyangu tafadhali.
Dear hata usitamani kunenepa.
Mie mwili wangu unasonganga mbele tu kama injili, yaani unanikeraaaa.
Bahati nzuri hata simuamini.Ukute hela za kikoba hizo ...
Sakayo atakuingiza mjini [emoji1787]