Wewe una mwili kama wangu. Ukigoma kunenepa umegoma; ukiamua kufutuka hata niwe nina mfungo wa months unafutuka tu. Siku hizi nimeuacha tu unifanye unavyojisikiaSaaana, natamani kunenepa saaaaana. Yaaaani sanaaaaaaaa. Nakulaga michipsi kila siku lakini waapi.
Naweka blueband hadi kwenye mboga, mayonnaise, mayai ya kisasa, makuku ya kisasa lakini wapiii[emoji23]
Hivi Mshana ni kweli unafanyaga kazi mochwari? Au unatutishia tuu?[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1257800
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijuii. Ngoja nikitoka job nitaenda kuangalia.
Atoto nadhani utaamini sasa nimeacha rasmi...View attachment 1257776
Hahaha;Nakuogopa mimi jamani
Sadaka za Leo wapi Dada Leo ijumaa 😂Sadaka za leo!
Muweka hazinaView attachment 1257773
Eti umeuacha ukufanye unavojisikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hii miili ni majanga.. Haina shukrani hata ipewe nini.Wewe una mwili kama wangu. Ukigoma kunenepa umegoma; ukiamua kufutuka hata niwe nina mfungo wa months unafutuka tu. Siku hizi nimeuacha tu unifanye unavyojisikia
Umekuwa mhazini kuanzia lini?Sadaka auntie
Kamwe usitumie kigezo cha uzuri kuoa/kuolewa otherwise utajikuta umeoa au kuolewa na tatizo zuri.
Sasa wewe ukikonda unajuaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani hadi raha. Basi ukitaka usinenepe sana unapunguza stress[emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi nakona, na stress zinavonipenda kila wiki lazima zinitembelee. Hapa nimekonda nimebaki mifupi[emoji23][emoji23][emoji23]
Saaana, natamani kunenepa saaaaana. Yaaaani sanaaaaaaaa. Nakulaga michipsi kila siku lakini waapi.
Naweka blueband hadi kwenye mboga, mayonnaise, mayai ya kisasa, makuku ya kisasa lakini wapiii[emoji23]
Eeeh kisa cha kujichosha; sina habari naoEti umeuacha ukufanye unavojisikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hii miili ni majanga.. Haina shukrani hata ipewe nini.
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1257800
😂😂😂😂😂 so funny wallahAmeninyang'anya haki zangu sa msingi nyingi sana.
1. Miguu
2. Wowowo.
3. Hipsi
Matokeo yake mimi nimetoka kama vile familia yetu ilipewa nyongeza ya mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya hebu tafuta bar maid mmoja hapo weka ndani maisha yaendelee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha utomaso
Mungu Onesha Sehemu Hela Ipo
Hadi usijue namba ya kiatu ya mume[emoji134][emoji134]Ha ha ha ha aha ha ha aha ha[emoji23][emoji23][emoji23].
Mambo mengi eti.
Ijumaa Leo 😂😂😂💃💃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una nini lakinii