Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahah una utani na wachagga wewe...
Nishangae tuu, Watu8 ameniambia niendelee kufyetua watoto nitanenepa.

Ila nina wasiwasi mimi ni mchaga nisije kunenepa tumbo na nyonyoz tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara nyingi tunatamani vile tusivyokuwa navyo.
Kipindi nasoma chuo, vile vitanda vya deka tulikuwa tunalala watatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana tulivyo wembamba hatukuona haja ya kulipia vitanda vitatu kimoja tuu kilikuwa kinatosha.

Nimekumbuka mbali sana, na tulivo wembamba sasa, usiku ukigeuka tuu mifupa ya mwenzako inakuumiza. Yaani kama umalalia magogo vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom