Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooooo. Huyu ni mwinginee,

Yuleee huwa tunacharuaaaanaaaaaa PM, afu sasaa kumbeee mwanzoni had no angu alikua nayo ya zaman kabla ya hii ya sasa, nakumbuka alitakaa sana tukutaneee, nkamtoleaaa nje. Na huyu nae ana ID 2. JF lol.

Eti kasemaga ningejichanganya kukutana nae, angenionesha upande wa pili wa Dunia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nacheeeeekaaa lol.
We Coca hebu nitajie hao maharamia
 
Mwingine tena [emoji2296]
Sasa wanakutafutia nini kila uchwao?

Upande mwingine wa dunia ukoje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaaaaaaaa,

Yaaan mwenyeweee nashangaaaa, akati nipo buzzy na mambo yangu. Uwiíiiiiiih
Najisemeaga wakichokaaaa wataaacha.
 
Didi ake Depal nisaidie maana sielewi nakwama wapi
20220915_115054.jpg
 
Hawakujuiiiii wanakusikiaa tyu shoste akee!!! Waingie kizembe uwanyooshe akili iwakae sawa kwanza hahaha!!
This is jf banaaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ya motooooooo shougaaaaaah.
 
Mjep tu ndiye Mzee anayetujali humu.
Wengine wote wanajaza hela zote tumboni hadi wanapata vitambi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww binti jaman wazee njooni muone ujumbe wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom