Unalizungumziaje suala la kutumia simu ambayo haina utambulisho mbele? 🤣🤣Yule naye 🤣usasa mwingi.
Watu wanajua nina hela...Halafu Samsung nzuri nilibadilishana na Tecno ya mtu.
Nimebaki na kisamsung Cha kuungaunga ila watu bado wanahisi nina Hela😂💔
Nini tukifanya kinatibua furaha zenu?Mwanaume anataraji furaha tu kutoka kwa mwanamke
Nikuchekesheeee sasa kuna lijamaa la hapa selfika, linanifuatilia kitamboooo na ninalijuaaa haswaaaa,Nimesoma aya kwa 1 na 2 kwanza ebu nicheke mie bwahaahaha ! Nilionaa unavotaka kuingiaa nilionaaa
cocastic ashasemaga hakuna id mpyaa humu wee ingia kichwa kichwa ujichanganyeeeee;!
Mie mbona niliwa alert watu humu kabisaaa kuhusu hilo
Namalizia kusomaa!!
EehKwa yesu eti ee
Halafu jana nikasema nitakupigia nikasahauNafurahi kusikia hivyo
Yesu ni mwamba
Bado upo Tazara
Sawa jirani mpendwa..Uwe unakaa chini
Yule jamaa 🤣🤣🤣 hivi si mpeane muache kufatiliziana hivyoNikuchekesheeee sasa kuna lijamaa la hapa selfika, linanifuatilia kitamboooo na ninalijuaaa haswaaaa,
Likajifanya kuja na ID ake ingnee, afu kumbe mie naijua had anawarubuni watu wengne, na mchapo niliupata kwa, m1 wapo aliyedinyana nae,kaja anajifanya kutaka kuni ovetake mie namchora tyuuh hapo, huku najifanya km naingia kwenye 18 zake, baadae akaanza kuni diss nkamuumbua pale pale nkataja na ID ake ya 3, alikua mdogo km priton, uwiiiiiiiih
Na nkamchana aje na ID yake aliyojiunga 2013 ambayo ndo inafahamika mnooooo, sio hizi za 2016 na 2018. Weraaaaaaaaaaaaaaaah, hakuna ingizo jipyaa hapaaaa,
Epuka kuyakanyaga.
Weeeee linakufata kutaka nini kwako sasa shost akeee msaganeeeee ama nene shost akee???Nikuchekesheeee sasa kuna lijamaa la hapa selfika, linanifuatilia kitamboooo na ninalijuaaa haswaaaa,
Likajifanya kuja na ID ake ingnee, afu kumbe mie naijua had anawarubuni watu wengne, na mchapo niliupata kwa, m1 wapo aliyedinyana nae,kaja anajifanya kutaka kuni ovetake mie namchora tyuuh hapo, huku najifanya km naingia kwenye 18 zake, baadae akaanza kuni diss nkamuumbua pale pale nkataja na ID ake ya 3, alikua mdogo km priton, uwiiiiiiiih
Na nkamchana aje na ID yake aliyojiunga 2013 ambayo ndo inafahamika mnooooo, sio hizi za 2016 na 2018. Weraaaaaaaaaaaaaaaah, hakuna ingizo jipyaa hapaaaa,
Epuka kuyakanyaga.
Inatakiwa umuamini mwanaume sio umjari jukumu la kujari liko kwa mwanaumeNini tukifanya kinatibua furaha zenu?
Niwacheeeeeeeeeh kwan, kuna mtu alikua ananiimbia "simuachi" by Jux.cocastic jamaneee nakusubiria sikuoniiiii!! Ubuyu utapoa shoss Angu hebu uje kunipa mie ukute namie nina wa kujaziajaziaaaa .....Do hurry pullliiizzzzzzzzzzzzzzz
Huu umbea bila kufunga codes ni batili.Nikuchekesheeee sasa kuna lijamaa la hapa selfika, linanifuatilia kitamboooo na ninalijuaaa haswaaaa,
Likajifanya kuja na ID ake ingnee, afu kumbe mie naijua had anawarubuni watu wengne, na mchapo niliupata kwa, m1 wapo aliyedinyana nae,kaja anajifanya kutaka kuni ovetake mie namchora tyuuh hapo, huku najifanya km naingia kwenye 18 zake, baadae akaanza kuni diss nkamuumbua pale pale nkataja na ID ake ya 3, alikua mdogo km priton, uwiiiiiiiih
Na nkamchana aje na ID yake aliyojiunga 2013 ambayo ndo inafahamika mnooooo, sio hizi za 2016 na 2018. Weraaaaaaaaaaaaaaaah, hakuna ingizo jipyaa hapaaaa,
Epuka kuyakanyaga.
Hako kamsemo kakitambo sana
Hivi Kawige huwa kanaongeaje?Halafu jana nikasema nitakupigia nikasahau
Sawa tutakuwa tunawaaminiInatakiwa umuamini mwanaume sio umjari jukumu la kujari liko kwa mwanaume
Queen kisauti 🤣Halafu jana nikasema nitakupigia nikasahau
Safee sana shost akeeeee Maisha Ndio hayahayaaaaaa Enjoyyyy shost anguu ukishikwa shikamanaaaaaa na uache mawenge yakooooo!!Niwacheeeeeeeeeh kwan, kuna mtu alikua ananiimbia "simuachi" by Jux.
Weuweeeeeeeeeee!!! Kupendwaaaaaa rahaaaa afu ile ya dhati sasa, had mwenyewe naogopa na kujistukia.
Utasikia "uko na mimi wee kuwa huru na kuwa utakavyo tunaishi mara 1 tyuuuh". Nyieeeee mniacheeeeeee mie hizo sio shida zanguuu.
AiseeeNikuchekesheeee sasa kuna lijamaa la hapa selfika, linanifuatilia kitamboooo na ninalijuaaa haswaaaa,
Likajifanya kuja na ID ake ingnee, afu kumbe mie naijua had anawarubuni watu wengne, na mchapo niliupata kwa, m1 wapo aliyedinyana nae,kaja anajifanya kutaka kuni ovetake mie namchora tyuuh hapo, huku najifanya km naingia kwenye 18 zake, baadae akaanza kuni diss nkamuumbua pale pale nkataja na ID ake ya 3, alikua mdogo km priton, uwiiiiiiiih
Na nkamchana aje na ID yake aliyojiunga 2013 ambayo ndo inafahamika mnooooo, sio hizi za 2016 na 2018. Weraaaaaaaaaaaaaaaah, hakuna ingizo jipyaa hapaaaa,
Epuka kuyakanyaga.
Ubuyu ameniachia mimi
Nitawaletea kuanzia saa 6 usiku
Nyota za mikosiiiiii shostiiieeeeee akeeeeee!!!!! Ngoja nikaogeee maji ya bahari nisafishe nyoitaaaaa💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸wapiiiiiiiih