MidamidaMjep vocha leo vipi, tumechat sana bando linakaribia kukata
😂😅😂 si wakaimba banaMbona mbuzi 🤣🤣
Kuachwa kunauma jaman, hasa kama mtu aliyekupiga kibuti bado unampenda.
Itakua anajutia, sema usijibu text zake mpotezee
Hii michezo ya hela ukiitumia vizuri lazima uenjoy😂😂😂😂😂😅😂😂😅😅😅😅😅 kikoba na michezo kweli ukiamua unafanya endeleo flani
Mimi friji nilinunuaga na hela za mchezo 🤣 niliongezea tu kidogo
Yaan idumu
Siiachi
Kuna mchezo nikacheza ile hela yote nikamsapraiz mama na baba
Rahaa sanaaa zile blessings zao 😂
Maumivu nyieeeeeee 😂😂😂😂😂😅😂 si wakaimba bana
Kuachwa ni shughuli pevuu
Wewe unakonda, unapaukaaa
Mwenzako ananenepa 😫
Hatari sana hizo mambo ukiziendekeza
Tugee vocha tuselfikeNawaomba mselfike......
😂😂😂 na unasindikiza kabisa eeIla uninga wa kulilia mtu siwezi
Akiondoka namsindikiza na asije tena kunusa pua lake..aisee amtoa nduki.
Ukiondoka ondoka mazima na usonge mbele kama injili.
Kuna mimbuzi linaondoka halafu linakuja tena kukutext...hiyo jeuri anaitoa wapi?
Nachukua muamala wa kutosha leo vocha za kufa mtuTugee vocha tuselfike
Poleeeeeee 🤣🤣🤣Maumivu nyieeeeeee 😂😂😂😂
Hapo ni soko kuu au clock tower nije chap 🤣🤣Nachukua muamala wa kutosha leo vocha za kufa mtu
Usisahau kuselfika
Hayo ndio mambo yanatakiwaNachukua muamala wa kutosha leo vocha za kufa mtu
Usisahau kuselfika
Ooooh hapo sawaah!! Sisi tulikua na cashier, si. Unajua tulikua n dents wa chuo tyuuuh.Sie hatuna cashier, kila mtu anapokea hela zake anatumiwa na ya kutolea kabisa
Mkiwa wastaarabu waaminifu wote mchezo unaenda vizuri na mnaenjoy




Walidhani kakuwa umri atakuwa kakuwa na akili 🤣Ila tabia za ulafi alianza tangu shule..kuiba wali wa watu kwenye mabobo siku ya wali.
Sasa sijui walimuamini vipi kucheza naye.
😂😂Hatari sie hatutaki mtu kushika Hela ikifika zamu Yako ni moja Kwa moja bank kilamtu anatuma huko unakuja na risitUpatu, cashier akitokomea na pesa ni kisanga, nusu nilale mbele na mtu. Sitaki utani kwenye vijisenti vyangu.
Mkicheza tena bora kila mtu apokee chake directOoooh hapo sawaah!! Sisi tulikua na cashier, si. Unajua tulikua n dents wa chuo tyuuuh.![]()
Hiyo ndio nzuri😂😂Hatari sie hatutaki mtu kushika Hela ikifika zamu Yako ni moja Kwa moja bank kilamtu anatuma huko unakuja na risit
Wanachuo tyuuh, ndo tulikua tunacheza, sasa cashier yeye alitokomea na pesa wakati wa likizo,Mnacheza aje na watu wasio waaminifu? Au ambao hamjuani vizuri?







pole una roho nzuriHuku Tanzania ukimkopesha mtu hela unapoteza hela yako na unampoteza na yeye.
Kuna mwingine alikuwa mpendwa mwenzangu..tena kiongozi Fellowship.
Tulipoanza semester nilienda na nguo za mtumba..Mzee wangu alinipa mtaji..nikajumua mtoto wa watu.
Kufika chuo nikamwambia nauza nguo...akaniambia lete nikuuzie maana yeye watu wengi sana wanaenda rum kwake na anajichanganya sana na watu.
Nikampa...alinambia watu wananunua..nikafurahi nikamwambia basi zikiisha utaniambia.
Sikupata hela hata sh mia wala nguo.
Na hakuwahi kuzungumzia chochote na mimi nilikaa kimya hadi leo na nilishasamehe.
Unataka kukopa? Kakope salary adv yako huko
Mbona rahisi tu
Ila mimi michezo sijui kama nitakujaga kuacha![]()
Ile kitu ni addiction





mie ndo siwezi kabisaaaa, yaan kila nkijaribu kuacha, nashindwaaa.