Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Simple healing from any breakup ni kukubali tokeo, umeachwa achika,, muache aende, tena ukijifanya unajua kumfatilia na mambo yake ndio utawehuka kwa maumivu 🤣🤣


Talking frm experience! Mimi sikufikia stage ya kuwehuka,, ila badala maumivu yapoe ndio kwanza yakawa yanazidi 😂😂😂
Nikaona heeee I’ve to be serious, nikakuwa serious then the shit passed like a shadow 😍
Unadhani ni rahisi?
Labda iwe alizingua mwenyewe.
 
Huku Tanzania ukimkopesha mtu hela unapoteza hela yako na unampoteza na yeye.


Kuna mwingine alikuwa mpendwa mwenzangu..tena kiongozi Fellowship.
Tulipoanza semester nilienda na nguo za mtumba..Mzee wangu alinipa mtaji..nikajumua mtoto wa watu.

Kufika chuo nikamwambia nauza nguo...akaniambia lete nikuuzie maana yeye watu wengi sana wanaenda rum kwake na anajichanganya sana na watu.
Nikampa...alinambia watu wananunua..nikafurahi nikamwambia basi zikiisha utaniambia.

Sikupata hela hata sh mia wala nguo.
Na hakuwahi kuzungumzia chochote na mimi nilikaa kimya hadi leo na nilishasamehe.
Unae moyo 😂🤣
 
Simple healing from any breakup ni kukubali tokeo, umeachwa achika,, muache aende, tena ukijifanya unajua kumfatilia na mambo yake ndio utawehuka kwa maumivu 🤣🤣


Talking frm experience! Mimi sikufikia stage ya kuwehuka,, ila badala maumivu yapoe ndio kwanza yakawa yanazidi 😂😂😂
Nikaona heeee I’ve to be serious, nikakuwa serious then the shit passed like a shadow 😍
Dyadya tumesikia 😂😂
Tutajitahidi kuachika tukiachwa
 
Ila uninga wa kulilia mtu siwezi
Akiondoka namsindikiza na asije tena kunusa pua lake..aisee amtoa nduki.

Ukiondoka ondoka mazima na usonge mbele kama injili.
Kuna mimbuzi linaondoka halafu linakuja tena kukutext...hiyo jeuri anaitoa wapi?
Unaliliaje mtu kwa mfano, af unamlilia anakupotezea full kujidhalilisha

Sazingine anakua kamiss alivyoviacha
Ukute kule alikoenda kakuta mpauko, aah lazima akumbuke alikotoka mbona
 
Mimi ni mpumbavu..yaani nikiwaga na hela siwezi kumnyima mtu.
Tena waliwahi kutoa tarehe za mwanzo mwanzo mimi nikasema nachukua,maisha magumu.
Yeye akakataa akasema anasubiri hadi tar 30.
Imefika jioni tunatoka..tulikuwa tunaongozana..akaniambia anajisikia homa..nimuazime 20 apite hosp.
Nikaenda kumtolea.
Hakurudisha.

Siku zimeenda mara akaja tena nipiga kibomu.
Na nilivyo domo zege hata kudai siwezi.

Halafu analeta mambo ya kucheza vicoba tena cha hela ndefu eti ili tufanye maendeleo..hakiyanani
Nikawaambia mm sina haraka na maendeleo,kwanza nakaa nyumbani bure.
😂😂😂😂😂😅😂😂😅😅😅😅😅 kikoba na michezo kweli ukiamua unafanya endeleo flani

Mimi friji nilinunuaga na hela za mchezo 🤣 niliongezea tu kidogo
Yaan idumu
Siiachi

Kuna mchezo nikacheza ile hela yote nikamsapraiz mama na baba
Rahaa sanaaa zile blessings zao 😂
 
Back
Top Bottom