Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzigo woote utapanda hapa hapa
Wewe si tumeachana leo leo🤣🤣🤣
Ndio unanikomoa sio, kisa nimekuacha 🤣🤣
Nimemiss enzi zie hatujaachana nilikua napewa vocha hata sijaomba leo hii mie wa kugombania goli daah kweli ya leo sio ya jana

Au turudiane basi kwa saivi af ukishanitumia vocha kila mtu anakula 50 zake😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani cweziiiiiiii, weee
Ungefanyaje sasa?
Hadi tunaondoka chuo mtu yupo kimya tu.

Na akawa anaomba aje akae kwetu maana alipangwa field Mbeya.. nikamwambia haina shida.
Ila baadaye alibadilishiwa sehemu.

Sikuwahi kumwambia Mzee kuwa nilitapeliwa zile nguo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nafas yako mbinguni wallah
 
Ile ya kutolea ndo imekua ya kutisha sana yaani tumerudiana na kuachana leo leo🤣🤣🤣

Back
Top Bottom