Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,479
- 203,141
Wala ya nyumbani kwenu 😂Wizi hauangalii maisha ya mtu.
Wala ya nyumbani kwenu 😂Wizi hauangalii maisha ya mtu.
Ndio apotee na hela sasa 🤣Maisha mazuri ya nyumbani kwenu sio guarantee ya wewe kuwa na hela 24/7 za kutosha kutatua shida zako binafsi…
Anza saivi, namba yangu unaijua.Naanza kutuma kuanzia leo
Turudiane...
Ndio maana nikasema labda alipata shida, akaona soln ni kujipooza na hela za watuNdio apoted na hela sasa 🤣
Na hafananii🤣🤣Ndio apotee na hela sasa 🤣
Shetani anakaa kwenye hela na maneno mqneno 😂Shetani mbaya
Shetani anakaa kwenye hela.
Ugomvi mwingi wa marafiki chanzo ni hela.
Sana, mimi mazoea na hela sitaki kwakweliShetani mbaya
Shetani anakaa kwenye hela.
Ugomvi mwingi wa marafiki chanzo ni hela.
Oyah nikopeshe laki 1Sana, mimi mazoea na hela sitaki kwakweli
Huruma yangu ilishaniponza sana nishapigwa vya kutosha
Wizi upo kwenye damu.Wala ya nyumbani kwenu 😂
Tena wewe wachuga 🤣🤣🤣Oyah nikopeshe laki 1
Mimi pamoja na kutokuwa na hela ila bado napigwa hadi leo.Sana, mimi mazoea na hela sitaki kwakweli
Huruma yangu ilishaniponza sana nishapigwa vya kutosha
Watu hawana huruma jamani 🤣🤣Mimi pamoja na kutokuwa na hela ila bado napigwa hadi leo.
Huku Tanzania ukimkopesha mtu hela unapoteza hela yako na unampoteza na yeye.Shetani anakaa kwenye hela na maneno mqneno 😂
Kuna mtu mpk dk hii sitaki kuamini nimeshindwa kumsamehee na kurudisha ushost
Manenoo daah acha tuShetani anakaa kwenye hela na maneno mqneno 😂
Kuna mtu mpk dk hii sitaki kuamini nimeshindwa kumsamehee na kurudisha ushost
Wana mioyo ya chuma.Watu hawana huruma jamani 🤣🤣
Duuuh! Kwanini hukumuuliza?, Me ningekomaa naye mpaka kielewekeHuku Tanzania ukimkopesha mtu hela unapoteza hela yako na unampoteza na yeye.
Kuna mwingine alikuwa mpendwa mwenzangu..tena kiongozi Fellowship.
Tulipoanza semester nilienda na nguo za mtumba..Mzee wangu alinipa mtaji..nikajumua mtoto wa watu.
Kufika chuo nikamwambia nauza nguo...akaniambia lete nikuuzie maana yeye watu wengi sana wanaenda rum kwake na anajichanganya sana na watu.
Nikampa...alinambia watu wananunua..nikafurahi nikamwambia basi zikiisha utaniambia.
Sikupata hela hata sh mia wala nguo.
Na hakuwahi kuzungumzia chochote na mimi nilikaa kimya hadi leo na nilishasamehe.
Simple healing from any breakup ni kukubali tokeo, umeachwa achika,, muache aende, tena ukijifanya unajua kumfatilia na mambo yake ndio utawehuka kwa maumivu 🤣🤣Aisee wewe dada una roho ngumu.
Unadhani kuachwa rahisi?
Tuachane tu......Anza saivi, namba yangu unaijua.
Nitumie laki 2 ya upatu
Unapataje amani ukiwa na hela ya mtu kwa mfanoWana mioyo ya chuma.
Mimi nikiwa na hela ya mtu huwa nakosa raha
Muda wote naona kama ananidai hivi..na huwa nakuwa mwaminifu nikiazima narudisha kwa wakati.
Ila mtu anajipigia tu hela zote za mchezo.
Wala hastuki.
Tena bonge huyoNa hafananii🤣🤣