Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huku Tanzania ukimkopesha mtu hela unapoteza hela yako na unampoteza na yeye.


Kuna mwingine alikuwa mpendwa mwenzangu..tena kiongozi Fellowship.
Tulipoanza semester nilienda na nguo za mtumba..Mzee wangu alinipa mtaji..nikajumua mtoto wa watu.

Kufika chuo nikamwambia nauza nguo...akaniambia lete nikuuzie maana yeye watu wengi sana wanaenda rum kwake na anajichanganya sana na watu.
Nikampa...alinambia watu wananunua..nikafurahi nikamwambia basi zikiisha utaniambia.

Sikupata hela hata sh mia wala nguo.
Na hakuwahi kuzungumzia chochote na mimi nilikaa kimya hadi leo na nilishasamehe.
jamani cweziiiiiiii, weee
 
Sina bando la picha, nasubiria vocha hapa nijiunge
Aaaah! Sweet mankaaaa 🤠🤠🤠 kama ndenge vile tunavyopendana
IMG_20220913_104147.jpg
IMG_20220913_104223.jpg
 
Back
Top Bottom