Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena last week nimepokea upatu hapa nimejaa adi nataka kujiteka [emoji23][emoji23]
Upatu udumu kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Upatu, cashier akitokomea na pesa ni kisanga, nusu nilale mbele na mtu. Sitaki utani kwenye vijisenti vyangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Upatu, cashier akitokomea na pesa ni kisanga, nusu nilale mbele na mtu. Sitaki utani kwenye vijisenti vyangu.
Sie hatuna cashier, kila mtu anapokea hela zake anatumiwa na ya kutolea kabisa
Mkiwa wastaarabu waaminifu wote mchezo unaenda vizuri na mnaenjoy
 
Huyo hakua mwaminifu
Ni bora mkachaguana mnaojuana na kuaminiana
Kwa ulimwengu huu wa jobless sijawahi kumwamini yeyote.

Labda sijui mbeleni huko wakitokea watu waaminifu nitajaribu kucheza.
Huwa nacheza indirect kupitia dada zangu ..Angalau huko kazini kwao vicoba vinaeleweka.

Ila hawa graduates aisee siwezi kubet hela yangu.
 
Back
Top Bottom