Mnatumiana hadi za kutolea? 🤣🤣 sisi unachukua kavuuuSie hatuna cashier, kila mtu anapokea hela zake anatumiwa na ya kutolea kabisa
Mkiwa wastaarabu waaminifu wote mchezo unaenda vizuri na mnaenjoy
Napenda kuku nusu tu 🤣🤣🤣Tena last week nimepokea upatu hapa nimejaa adi nataka kujiteka 😂😂
Upatu udumu kwakweli
Mnacheza aje na watu wasio waaminifu? Au ambao hamjuani vizuri?Upatu, cashier akitokomea na pesa ni kisanga, nusu nilale mbele na mtu. Sitaki utani kwenye vijisenti vyangu.
Njoo ucheze kwetuKwa ulimwengu huu wa jobless sijawahi kumwamini yeyote.
Labda sijui mbeleni huko wakitokea watu waaminifu nitajaribu kucheza.
Huwa nacheza indirect kupitia dada zangu ..Angalau huko kazini kwao vicoba vinaeleweka.
Ila hawa graduates aisee siwezi kubet hela yangu.
Yaani mtu unamjua vizuri na anawaliza vizuri tu.Mnacheza aje na watu wasio waaminifu? Au ambao hamjuani vizuri?
Au ndugu agemates kama mnaelewana vema.Kwa ulimwengu huu wa jobless sijawahi kumwamini yeyote.
Labda sijui mbeleni huko wakitokea watu waaminifu nitajaribu kucheza.
Huwa nacheza indirect kupitia dada zangu ..Angalau huko kazini kwao vicoba vinaeleweka.
Ila hawa graduates aisee siwezi kubet hela yangu.
Simply huo ni wizi.Yaani mtu unamjua vizuri na anawaliza vizuri tu.
Tena huwezi kumdhania.
Mnamtoa wapi na mko mikoa tofauti.
Mimi kazini kwenyewe nilikataa.Njoo ucheze kwetu
Tuko waaminifu 🤣
Yan nacheza na workmates
Ndio itokee mtu azingue? Ngoma itapanda finance dept 😂😂😂 mbona atakula deduct?
Unataka kukopa? Kakope salary adv yako hukoMimi kazini kwenyewe nilikataa.
Yule mdada alishakopa vihela kwangu na hakurudisha.
Tunaanza tu kazi akaleta wazo la mchezo na akajiweka wa kwanza kuchukua.
Walikubali wote,mimi pekeyangu nikakataa kucheza.
Wakasema acha uoga..ila roho yangu iligoma.
Alikaa miezi michache tu akaondoka.
Eeh ya kutolea muhimu, mtu apokee kibunda chake fuluuuu 😅Mnatumiana hadi za kutolea? 🤣🤣 sisi unachukua kavuuu
Na chips au ndizi mzuzu? 😂😂Napenda kuku nusu tu 🤣🤣🤣
Sikumblock bwanaMambo ya mastress, nimeshasahau hizo zama eeh (Sijui ndio hivyo aah)
Kwani hukumblock?
Ndizi mzuzu mbili tu na pepsi ya kopoNa chips au ndizi mzuzu? 😂😂
Walianza kunitafuta kuuliza kama najua nyumbani kwao huyo mdada.Simply huo ni wizi.
Hatari sana.. sisi utajuana na bae wakoEeh ya kutolea muhimu, mtu apokee kibunda chake fuluuuu 😅
Aisee wewe dada una roho ngumu.Sikumblock bwana
Sasa naona ana kiherehere cha kunitext… mbuzi ile haiachikiii 😡 sijui ina akili za wapi ambazo hazitaki kuheshimu maamuzi ya kuachwa 😏😏
Huyo ni mwiziWalianza kunitafuta kuuliza kama najua nyumbani kwao huyo mdada.
Bahati mbaya sijawahi kufika.
Mimi sikujua kama wanamdai.
Kwanza aliblock watu wote..
Na sijui alihisi watanituma maana tulikuwa mkoa mmoja.
Akaniblock..baada ya mwaka hivi ndio akarudi hewani.
Sasa nikatuma namba aaddiwe kwenye grp ndio wakaanza kufunguka kuwa kuna kicoba aliwatapeli watu.
Sisi tulitendwa na huyo mtu tena alikua wa kishua na tulimuamini kumpa uhasibu maana hakua na njaa😂😂Yaani mtu unamjua vizuri na anawaliza vizuri tu.
Tena huwezi kumdhania.
Mnamtoa wapi na mko mikoa tofauti.