Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tutafute hela didi ake
Maisha sio magumu hivi

Af niliona sehemu eti mwanamke hatakiwi kupambana, ni vile tu shida zimetujaa😂😂
Maisha ni magumu bwana 🤣🤣
Imagine una hela sijui ka salary lkn unaishiwa 😂😂😂😂😂


Mwanamke pambo la nyumba wapwani wanasema…

Shida wanaume wenyewe watakubali uwe pambo? Tozo zote watakuwa tayari kuzibeba peke yao?
 
Tulia hapo nishushe somo la kutosha
Ngoja niombe ruhusa kwanza kwa bi mkubwa
Naona jana mlikua mnaongea wenyewe tu hapa, hivi mnaelewa kuwa wanaume pia tunapenda tena kuliko nyinyi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shikamoo unataka kuninyima nini wee mr Vocha???[emoji6][emoji6]!! Shikamoo mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Shusha nondo nasie tuone maproblee yetu buana nawewe unapenda dada zako ndoa zitushinde tuachike mr Vocha??
Tena wewe natamani kweri kweri nikusikie ukizungumzia mahusiano sijui kwanini [emoji12]

Shusha mapointtttsssss nipo hapa kunote [emoji144][emoji144][emoji144][emoji404][emoji404][emoji404]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yatakuhindaaaaa shouougaaa.
 
Jana hiyo... Leo baadae
PXL_20220906_121331256~3.jpg
 
Back
Top Bottom