Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mapya gani? Hii week niko busy hadi najihurumia 😢 nachoka mno, nikifika home nikila, nikijiegesha tu nimeenda na usingizi 🤣


Shemeji BK unanikana
Mapya hamna, tozo tu kila kona
Nakumiss tu mie
Yaani pilika pilika zinachosha mwili balaa na ndio kwanza j5

Weeee aku usinisingizie😂😂
Naona umejichokea hasa😂
 
Mapya hamna, tozo tu kila kona
Nakumiss tu mie
Yaani pilika pilika zinachosha mwili balaa na ndio kwanza j5

Weeee aku usinisingizie😂😂
Naona umejichokea hasa😂

Nikiwa mkubwa
Nitakuwa mjasiliamali
Niamke saa 4 😂😂😂😂 nikaangalie kijana wa dukani anaendeleaje 😋


Mambo ni mengi muda hautoshii
 
Awapiii 😂😂😂 nakusagia mpaka mifupa
Ukiniharibia ujue nitapauka, na sidhani kama utapenda hilo linitokee mie shoga ako tumetoka mbali😂😂

Njoo tunywe chai
20220907_095719.jpg
 
Back
Top Bottom