myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Asante sana jirani..Kwako pia jirani!
Asante sana jirani..Kwako pia jirani!
hahahahaha,watakuja wataalam wa mahusiano wataeleza vzr🤣🤣🤣🤣🤣!! Tunashare ideas ili sote tujifunze mjeda acha uchoyo wa madesa banaa wee hutaki dada zako tujifunze na kujirekebisha eehh?? Unapenda dada zako tuachike eeh???🤔🤔!
unaingia darasaniMuwe na siku njema wapendwa!! ✌️
Watu na mabebi zenu mnaingia discusheni 🤠🤠🤠 kujadili mapenzeeeeMr vocha Akiweka desa naomba nitag dear! Tena nawao waweke ili tubalance mawazo sio kusikiliza upande Mmoja na kutoa conclusion!
Hahahaaa!!hahahahaha,watakuja wataalam wa mahusiano wataeleza vzr
hahahaha.mimi hapanaHahahaaa!!
Naamini hata wewe ni mtaalamu mjeda!!
Haya wakuje leo nitakua msikilizaji zaidi
Yah ngoja labda wanaume pia watueleze why inakua hiviHapana haijatumwa sis naongelea mambo ya mahusiano kuvunjika na kuachana jana watu walifunguka mnoo!!
Wacha leo tusikilize upande wa pili sis!!
Babe wangu hata Hayupo humu mjomba mapenze yana wenyeweee sio mieee!!Watu na mabebi zenu mnaingia discusheni 🤠🤠🤠 kujadili mapenzeeee
Thanx na kwako pia SisyMuwe na siku njema wapendwa!! ✌️
Ndio mjeda! Muwe na wakati mwema wapendwa!unaingia darasani
SauwaaasaauuuuwwwaaaaaPrinciple: Wanauke wapendeni wake zenu kama Kristo alivyo lipenda kanisa ( kristo - Head), kuna mahala tena Enyi wake watiini waume zenu.. Na kuna mahala tena panasema ishini na wake zenu kwa akili na kuna mahala pengine tena inaswma Mwanaume atakula kwa jasho na mwanake uchungu utaongezeka na tamaa yake siku zote itakuwa kwa mumewe.. Ukiangalia kwa ndani vikikosekana vilivyotajwa hapo hesabu maumivu..
Shikamoo madam boss ladyMr vocha Akiweka desa naomba nitag dear! Tena nawao waweke ili tubalance mawazo sio kusikiliza upande Mmoja na kutoa conclusion!
Shikamoo unataka kuninyima nini wee mr Vocha???😉😉!! Shikamoo mwenyewe 🤣🤣🤣🤣!!Shikamoo madam boss lady
Umeamkaje leo?
Nilitaka kushusha darasa heavy hapa ila ndiyo nimeshazuiliwa, jana nilikua na mishe mishe kibao niliukosa mjadala
Kujiandaa na ushunguuuuu ausio!!Tega vizuri...
Ndoa mahusiano na mapeni ( vina patern) 🤠🤠🤠🤠.. Lazima hiyo patern components zote ziwe mahala pake, iki miss hata moja ni kujiandaa kisaikolojia
Weee kumbe!!!🤔🤔Mwanamke jukumu lake sio kupenda, mwanamke jukumu lake ni Utii, utao zaa wivu. Ukiona mwanamke analeta swaga za kukupenda na utii zuri kaa nae pembeni haraka
#5📝Na mwanaume ukiona hakupendi ( hana alama za upendo hana hofu ya Mungu) kaa nae mbele utauponza 🤠🤠🤠🤠. Mwanaume ni leader anacho mlisha na kufanya mwanamke akiishi anatakiwa akifute pia, maana hatakiwi ku mkontrol
Nimenote ✌️Wivu kwasababu chako na unakimiliki, sio wivu wa kichawi, kitu sio chaki lakini una wivu nacho 😀😀😀.... Utii ndio kila kitu kwa mwanamke na ndicho alicho umbiwa.. Msijifanye mnatupenda sanaaa mtaumiaaa ni kama mnajaribu kukaa kwenye position ya kiume isiyo wahusu
Si unajua morning glory inakuachaje salama bila ka usingizi ka dk chache 🤠🤠☺️Tuendelee na mada kwanza mjomba!! au rara kwanza utaendelea ukiamkaa ! Muendelezoo kwako Mjep