Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari picha!
 

Attachments

  • IMG_20220825_164449_622~2.jpg
    IMG_20220825_164449_622~2.jpg
    414.2 KB · Views: 3
Jina tu ndio linavutia ila story zake za kiwaki kweli!!

Yani nihekaheka za mahusiano tu.. kuna mzee mmoja na mkewe waliona wakakaa 31 years with 3 kids badae mzee kamchoka mkeweee kapata ka binti kabichiiii akataka waachane watoto wakamdindiaa hakuna kumuacha mamaa na uzee wote huo... mwingine kijana na mkewe wa ndoa kabisaaa ndani mambo si mambooo hawagusanii hata kumbe mume anateleza huko nje na ka mchep hadi kakapa preg ka mchep badae kakapeleka kwa wazazi wake kwakua kana mimba yake..mke kwenda kukomlein ukweni wazazi hataa wako upande wa ka mchep... mwingine kijana ana wachumba kama watano hivi kawapanga balaa Yani ni matukio hayooo hayoo tu ya majanga ya ndoa Kwamba Hakuna kwenye ahueni!
Uwiii mbona purukushani hivyo.
Haya mambo ya mahusiano yako complicated sometime hapo la muhimu ni kubebana tu na msukule wako ambaye mnamatch basi mnapambana na hali zenu maana kila sehemu tafrani.
 
Back
Top Bottom