Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kitobo kitawaua mjombaa!! Wengine mtakufa huku mmesimamisha Hakyanani! Too much of anything is harmful mjue!!

😷🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
Na watakufa kweli na magonjwa sugu😁😁
 
Tuhitimishe kwamba shida iko pande mbili kwa mke na Mme.
Na shida ipo katika misingi. Shida ipo kwa mwanadamu kuwa mkaidi mbele za Mungu. Tukirea kwenye Mwenyezi Mungu na tukawa na hofu ya kweli kwa kumcha hutosikia hizi shit, ila lazima uovu uwepo na nuru, kama wewe na na mwenzako mna hayo ndoa yenu ni mbinguni ya duniani.. Ndoa raha bwana weee ukipata mwenye akili timamu na muwe na akiki timamu, ila kama mkiwa vichaa kazi ipo
 
Back
Top Bottom