Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Marahaba Bosi Ledi...Hapa pasipochafuta walai sijuii!! 😉
Shikamoo msukuma ✋
Leo mmeendesha mjadala safi sana hapa; na michango yako imejipambanua. Endelea kuwamulikia!
Marahaba Bosi Ledi...Hapa pasipochafuta walai sijuii!! 😉
Shikamoo msukuma ✋
Eti anapiga danadanaanaweza pretend to love you for a good five years, kumbe hujakutana na watu wanakunywa pombe, sigara na ganja kisa mapenzi eti?
View attachment 2347797








Kaka yangu anatafuta mchumba uko tayari 🤷🏼♀️Mimi nikishaomba
Nasubiri tu mtu sasa
Mungu amlete.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mkuu; mbona unatoa siri za kambi? 😁😁😁anaweza pretend to love you for a good five years, kumbe hujakutana na watu wanakunywa pombe, sigara na ganja kisa mapenzi eti?
View attachment 2347797
Mnayabust yachangamke sio penz limepoa kma uji uliolala 😂😂Mapenzi ni pasua kichwa
Leo mnapendana kesho hamuongei
Kabisa, wasiri sana😊😊😊 Msema jamanj hata kama baby shower tulete mazawadi ya mapacha ma uncle zetu au sio mkuu Post M-alone yani hawa dada zetu wanafanya mambo kimya kimya tunashindwa hata show love
Hao unaona wapo wapi hapo 😁😁
Hahaha sio kuchangamka hukoMnayabust yachangamke sio penz limepoa kma uji uliolala 😂😂
😂😂😂Hii live kabisaanaweza pretend to love you for a good five years, kumbe hujakutana na watu wanakunywa pombe, sigara na ganja kisa mapenzi eti?
Wana fail, wanajikosesha mambo mazuri wenyewe 😁😁Kabisa, wasiri sana
😁😁😁Mnayabust yachangamke sio penz limepoa kma uji uliolala 😂😂
😅😅😀 msijaliii yani ikitokea hivyo inshallah nitawaambia mimi nani hata nisitake zawadi za mauncle😀😊😊😊 Msema jamanj hata kama baby shower tulete mazawadi ya mapacha ma uncle zetu au sio mkuu Post M-alone yani hawa dada zetu wanafanya mambo kimya kimya tunashindwa hata show love
Jamaneeee!! Ila ukishalijua hilo ukazoea kupangwaa aaaaahhh mbona unaona burudane tyu 🤔🤔🤔!!😳 Sasa unakuta mtu anajua kabisa kuwa this man is married he has wifeyy or ako na mtru wake specific still anamwambia kabisa niko tayari kuwa mke mdogo / mchepuko whenever utapniweka mie poa tyu huyoo si anaona kupangwa furesh tyu jamane 🤔🤔🤔???Uaminifu.
Wengi wamekuwa si waaminifu ..Wanapanga watu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😊😊😊 Hapo sasa sawa, baby shower lini vilee😅😅😀 msijaliii yani ikitokea hivyo inshallah nitawaambia mimi nani hata nisitake zawadi za mauncle😀
Kachukua moyo wa mwenzie umekuwa mpiraEti anapiga danadana
Hebu ngoja nikale Mimi..
Umenikata maini.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kiongozi ilikuaje mpaka kuamua kufuga hivyo vijamaa 🦜🦜 ndan 😃Hao unaona wapo wapi hapo 😁😁View attachment 2347802
Hajui tu anavyokuumiza..Wana fail, wanajikosesha mambo mazuri wenyewe 😁😁
Vina vibe lake tu mkuu, nina enjoy asubuhi tukiamka vina makelele kimbia kimbia huku na huku basi mie roho yangu hapo inatulia kabisaaa, usiku nikilala navyo vinalala nina enjoy ukishakuwa single chronicle inabidi utafute furaha mbadala 😅😅😅 au unasemaje mod mwenzagu mzabzabKiongozi ilikuaje mpaka kuamua kufuga hivyo vijamaa 🦜🦜 ndan 😃
Mpaka junia aingie tumboni sasa sijajua lini/ mwaka gani ila inshallah mtapata taarifa ili nipate hizo zawadi 🤗😊😊😊 Hapo sasa sawa, baby shower lini vilee