raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,507
- 35,690
Naona vimeshazoea mazingira ๐ rangi zao zinamatch na sofa kabsa
Naona vimeshazoea mazingira ๐ rangi zao zinamatch na sofa kabsa
Life is yours!! Tusipangiane maisha ausio!! Mwemwereka kwaraha zakoo mjomba kila mmoja ashinde mechi zake ama nene!! Kula karanga kwa wingiiii tende hizo asali kwakwenda mberee bila kusahau mazoezi kwa sana pumzi iwepo mjombaa๐๐๐Aah ukweli nimefail, ila mala sita sija fail sana kuna watu washafanya mala mia taatu.. Mwakani itakuwa kwa mwezi mala 18, kwa mwakani nahisi nitafanya 18*12 = 216
Ndio vyenyeji kabisa hivi hapa nyumba nzima vinaijua.. Unaweza usikaona hata masaa badae unakuta hakoNaona vimeshazoea mazingira ๐ rangi zao zinamatch na sofa kabsa
Kweli nasikia vinatakiwa viwe viwili viwili au nimefananisha na njiwa ๐คKamoja kakiwa single katakosa joto la mwenzake ๐๐๐
Usiwaze sis kuna mida ya kujiripuaa badae ntakuita uone sis!! ๐๐Aaa humu tuko wengi sana hyo picha yangu nyepesi kama kuna mtu ambae yuko.
krb yangu ni anajua tuu hata mkono wangu
Poa sisyUsiwaze sis kuna mida ya kujiripuaa badae ntakuita uone sis!! ๐๐
Nimezoea watu wako na paka mbwa ndege ni huko nje ww na hao parrots wako ndani ni mupyaaa ๐Ndio vyenyeji kabisa hivi hapa nyumba nzima vinaijua.. Unaweza usikaona hata masaa badae unakuta hako
๐๐๐ Nalamba lamba tu hapaaaLife is yours!! Tusipangiane maisha ausio!! Mwemwereka kwaraha zakoo mjomba kila mmoja ashinde mechi zake ama nene!! Kula karanga kwa wingiiii tende hizo asali kwakwenda mberee bila kusahau mazoezi kwa sana pumzi iwepo mjombaa๐๐๐
Tunakumbushana ausio ๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ! Kumbe hubby yupo humu?? Dooh hapo uwe unakata head au kuweka emoj kubwaaa sasa sis ake ๐ค๐ค๐ค! Ila naked unapita sekunde mbili nyingiiiiiii unafutaa ataezubaaa atajijuuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Humu o muhasband akipita akaniona dada yako nitafurushwa. Nyie wadogo zangu tupieni naked maana ndo muda wenyewe huu sisi tushapoa
Na hawa wapo hivyo wanakuwa dounle double, ingawa single wapo ila double wanapendeza hata ukiwafanya pambo ndani wanapendezaKweli nasikia vinatakiwa viwe viwili viwili au nimefananisha na njiwa ๐ค
๐ ๐ ๐ Nina mbwa wangu sema wapo shule wado wadogo soon nawachukua kukaa nao, napenda mbwa sana, njiwa piaNimezoea watu wako na paka mbwa ndege ni huko nje ww na hao parrots wako ndani ni mupyaaa ๐
Kuna wazee wa kukrop halafu unaikuta mahali hahahahahah. Hayupo humu nisingeweka hata hyo lol๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ! Kumbe hubby yupo humu?? Dooh hapo uwe unakata head au kuweka emoj kubwaaa sasa sis ake ๐ค๐ค๐ค! Ila naked unapita sekunde mbili nyingiiiiiii unafutaa ataezubaaa atajijuuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Oooow wakirudi ni kutuma tu sio ๐ lete hiki nenda kule๐ ๐ ๐ Nina mbwa wangu sema wapo shule wado wadogo soon nawachukua kukaa nao, napenda mbwa sana, njiwa pia
Kweli Kabisa sis!Kuna wazee wa kukrop halafu unaikuta mahali hahahahahah. Hayupo humu nisingeweka hata hyo lol
Hao hawana shida, kuna filamu moja nimeiangalia mwaka huu inaitwa The Tinder Swindler ni true story, kuna jamaa mmoja , alikuwa anaonekana ni tajiri sana, mfanya biashara wa dhahabu, anamiliki private jet na anaishi maisha ya kifahari sana, kwanza profile yake tu tinder/instagram ilikuwa hatari, nguo zake tu, Louis Vuitton, Balenciaga, Gucci, Versace n.k, aliwateka sana wanawake ukizingatia alikuwa na muonekano, mwisho wa siku alikuwa anawatapeli millions of dollars.Mkuu; mbona unatoa siri za kambi? ๐๐๐
Hata kiulinzi mbwa ambae yupo na. Mafunzo ni mzuri zaidi kuliko wa ulinzi kwa kubahatishaOooow wakirudi ni kutuma tu sio ๐ lete hiki nenda kule
๐๐๐ Hiyo nipe nikupe ndio yenyewe, inabidi ku itest kama OG auUkitaka na zahivi tuwasiliane naziuza jumla na rejareja mjombaaa pia kuna za kuchemshwa moja kwa moja wewe ni kunywa tu na kuingia mzigoni!! Sitanii nauzaa sema bei imepanda tangu serikali ikataze basi zimekua magendooooo ๐ค๐ค๐ถ๐ผโโ๏ธ๐ถ๐ผโโ๏ธ๐ถ๐ผโโ๏ธ๐ณ๐ณ
Life is yours Enjoyโ๏ธโ๏ธโ๏ธ!
Ninunulie na mie, halafu muuzaji alishatest ubora wake? hebu uliza basi?๐๐๐ Hiyo nipe nikupe ndio yenyewe, inabidi ku itest kama OG au
Nina naile mundende sijui ipo kwenye kichupa boksi lake juu lina picha ya mshedede umesimama na zile dawa fulani hivi za kama mizizi myeupe huku uhayani zimejaa sana !! ngoja nikienda dukani nitapiga picha nikuoneshe mjomba kazi ni kwakooo๐๐๐ Hiyo nipe nikupe ndio yenyewe, inabidi ku itest kama OG au