Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa nawaoneaga huruma sna maana mguu ni mzito aloo…akianza kuusugua dakika tano nyingi jasho linamtoka😁😁😁..nikishakula kaptura yangu woi najidai kama simuoni but deep down naujuaā€¦šŸ¤£šŸ¤£
Na mai wako ukimbebesha mamiguu yote mabegani naye huwa anaelemewa? Hata sijui ni swali gani hili wallahi šŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļø
 
Na mai wako ukimbebesha mamiguu yote mabegani naye huwa anaelemewa? Hata sijui ni swali gani hili wallahi šŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļøšŸƒšŸæā€ā™‚ļø
Siku nikimpata mai wangu hakika nitakuja kulijibu hili swali vizuri šŸ˜ŽšŸ§
 
Selfika Hakuna kukaa singo wewe tunakukabidhi Wigelekelo usitutanieeee ?? Au Tukupe Shimba ya Buyenze kabisa Putin ana micheps miaa atakupasua kichwa yule [emoji848][emoji848][emoji6][emoji6][emoji6]
Mdomo komaa [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji8][emoji8][emoji8]
BL

Una balaa wewe[emoji1787]

Umeamkaje asubuhi hii

Enka imepona[emoji848]
 
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.

Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!

Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.

20220901_191837.jpg
 
Back
Top Bottom