Na nyimbo mliosingle msindikize usingiz😂😂
Nimebadili nimeshindwa
Nimebadili nimeshindwa wapi nitaweka sura yangu
Samaki mbichi nimesahau kumpinda
Amejirudi imekuwa hasara kwangu
Oooh hasidi hasidi, hana sababu hata akisingizia
Lazizi mkaidi, hatafaidi ladha siku za beer
Najifosi nisikate tamaa
Na kupenda japo inaniuma
Kinachoniuma muda muda
Nimepoteza we habari huna
Yaka yakanizidi nilipozama gwi gwi
Limenyauka waridi kwa kumwagiwa acidi
Jamani mapenzi yanauma
Mapenzi yanauma
Ooh mapenzi yanauma
Mapenzi yanaumaa
Bora ungekuwa mkanda DVD nyuma ningerudisha
Ulinifanya siambiliki sisikii yaani ukaniviringisha
Nimeamini mapenzi kuna namna yameungana na nyama
Hisia za nipeleka siwezi, kumbukumbu zangandamana
Najifosi nisikate tamaa
Yakupenda japo inaniuma
Kinachoniuma muda muda
Nimepoteza we habari huna
Yaka yakanizidi nilipozama gwi gwi
Limenyauka waridi kwa kumwagiwa acidi
Jamani mapenzi yanauma
Mapenzi yanauma
Ooh mapenzi yanauma
Mapenzi yanaumaa