Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,404
Kamera yako wewe hata siku moja haikosei? Tuelekeze na wengine tukanunue hiyo kamera yenye maajabu πππWabheja sana msukuma!! βοΈNi asante Kamera tu lakini!!
Kamera yako wewe hata siku moja haikosei? Tuelekeze na wengine tukanunue hiyo kamera yenye maajabu πππWabheja sana msukuma!! βοΈNi asante Kamera tu lakini!!
Kashaolewa mm nalala vocha yako umenidanganyaHahaha
June mwezi mzuri sana
Umetulia , fanya mpango na X wako yule .


Sijazoea kutoka usiku , labda iwe mchana kuelekea jioni .Ahhh uko vizur njoo nikufundishe kupangilia sauti Ila tutarekodi usiku ndyo napenda
Hayanaga muongozo πππMoyo unanikosea, moyo unanikosea
Nakaa na wewe, natembea na wewe
Nalala na wewe, bado unanikosea
Zungumza nami mchana (La-la-la)
Zungumza nami usiku (La-la-la)
Kama haifai hata ndotoni tu
Usishindane na kichwa (Aah)
Tumalizane yakaisha (Aah)
Moyo nirudishie maisha (Aah)
Mtupu, mtupu nimekwisha
Wewe boss kubwa hata pm hujaja hadi sasa ?Kashaolewa mm nalala vocha yako umenidanganya![]()
SafiiiDaah ume zoom kinoma. Nilikuwa naingia rock city one time..
Nitakufundisha jinsi ya kutoroka usiku usijal nipo kwa ajili yako πππSijazoea kutoka usiku , labda iwe mchana kuelekea jioni .
Kweli , hayana muongozoHayanaga muongozo πππ
Mjukuu kwishnei na upole wake dah! ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Same there. Japo hujatuambia kama crdb walrudisha kibunda ileSafiii
Nilikuwepo..
Good night mkuu
Anakushikaje ankle hajui ni Mali ya MjepHuyu hapa ananichua Ankle!!
Hahaha nipo huru sema sijazoea mambo hayo .Nitakufundisha jinsi ya kutoroka usiku usijal nipo kwa ajili yako πππ
Spinster wapi?Kweli , hayana muongozo
Ngoja tuwaachie wengine
Niwe spinster tu naona
Kashupalia kweli hii ishu. Kuna ukweli wo wote Bosi Ledi? πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈHuko mie simoooo mamdoππππππ! Mnajua wenyewe na mkeo msukuma sis walai,πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ!!
Wacha utaniii weee mama lipss, mtoto mcute hivoo mpolee usie na makuu weeeeehhh!! Anaekumiliki anaenjoy mnooo mamyy!! Mpe saramu zanguuππππ!! in watu wa Bk voice!!Hahaha Dada , sipatani na mapenzi ngoja tuwaachie wanaoweza .
Hapaa najifurahisha tu mie , nimeangalia tamthilia sana zimeniharibu kichwa ππ
Spinster wapi?
Hata mkiolewa mabinti wa selfika mnaolewa kimya kimya. Juzi juzi kuna mwanaselfika kafunga ndoa lakini kimya kimya tu sijui kwa nini. Badala mtangaze ili wanaoweza kutoa michango ya harusi watoe nyie mnafanya kimya kimya. Siyo poa!
Ndo ukweli huo SissyWacha utaniii weee mama lipss, mtoto mcute hivoo mpolee usie na makuu weeeeehhh!! Anaekumiliki anaenjoy mnooo mamyy!! Mpe saramu zanguuππππ!! in watu wa Bk voice!!
ππππ€£π€£ Utamuweza Huyo ana cheti chenye lamination kabisaaaa!! Mie humu ππππ kitamboooo!! Sitakiiii hekaheka treinaa mie! ππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈπ΄π΄π΄π΄π΄ππππ€π€π€!!Kashupalia kweli hii ishu. Kuna ukweli wo wote Bosi Ledi? πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
ππMpwa mchumba simuoniHata kipande kimoja hamalizi hapo mara huyoo anakimbilia baharini kuogelea! ππ
Usingizi utapata sema labda shida ya kwenda kulimwaga kojo usiku maana tikiti na kojo ni chanda na pete! ππ