Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,256
- 183,149
Zimekaa sana mbona mrembo mwenye guu lake !!😘😘
Zimekaa sana mbona mrembo mwenye guu lake !!😘😘
Mm mbna camera hainitoi hivo Hilo og kabisa 🤣🤣🤣Mweh asante Kamera mamaa!😉😉😘
Usiniambie kiranga kwisha kabisa🤣🤣😂Nilikuwa ugenini sehemu nikataja nifanye facial usowang sikuhiz haujakaa sawa nikatafuta saluni nikakosa nikaingia ya kiume nikaona facial ni kipengele nikamuomba anifanyie scrub 😂
Nikasuguliwa wew inafutwa napakwa nyingine akasugua sura akafuta akapka nyingine mara ya nne nikamstopisha 😂😂akasema na shingo nikamwambia acha akasema bas nimalizie sura nikupake Tena 😂😂
Nikakubali akapaka akanisugua uso akanambia dada vipi nikufanyie scrub na lips😂😂nikaona mambo yashakua mengi nikamwambia nifute niondoke
Awapi Madam ni kamera tu mamaa!Mm mbna camera hainitoi hivo Hilo og kabisa 🤣🤣🤣
Aisee madam mzuri sana shemeji kaopoa pisi Kali
Hakuna ufutio ukafuta hicho kiwingu hapo mam
Ningekupeleka Kwa huyo kaka 😂😂Usiniambie kiranga kwisha kabisa🤣🤣
Kiukweli Napenda kushikwa shikwa miguu Kwa kusuguliwa🥰🥰
Kufanyiwa massage ya kichwa☺️☺️☺️Kutolewauchafu sikioni🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️Naweza lala hapo hapo aise
Waone wataalamu wenye maarifa hayo wapo humu🤣🤣😂😂!!Hakuna ufutio ukafuta hicho kiwingu hapo mam
Kiranga kiliisha😂😂scrub ya lips hapana aiseeUsiniambie kiranga kwisha kabisa🤣🤣
Kiukweli Napenda kushikwa shikwa miguu Kwa kusuguliwa🥰🥰
Kufanyiwa massage ya kichwa☺️☺️☺️Kutolewauchafu sikioni🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️Naweza lala hapo hapo aise
Mnoooo🥰🥰🥰Aisee madam mzuri sana shemeji kaopoa pisi Kali
😆😆😆kwakweli poleKiranga kiliisha😂😂scrub ya lips hapana aisee
😂Na hiv tumekosa tako na Hela hatuna 🤣🤣Mnoooo🥰🥰🥰
Akipiga ile style na mbinuko🙄🙄🙄mambo si mambo nyie.
Flatscreen kwakweli twende uturuki tu hakuna namna💔💔
Hahahaaa... unafaa ukaimu katibu madam kiongozi wenu C. Putin!Aisee madam mzuri sana shemeji kaopoa pisi Kali
Waone wataalamu wenye maarifa hayo wapo humu🤣🤣😂😂!!
Kwakweli ni huzuni mno😂Na hiv tumekosa tako na Hela hatuna 🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnakutana na vituko sana huko kwenye urembooo.[emoji23]Nilikuwa ugenini sehemu nikataja nifanye facial usowang sikuhiz haujakaa sawa nikatafuta saluni nikakosa nikaingia ya kiume nikaona facial ni kipengele nikamuomba anifanyie scrub [emoji23]
Nikasuguliwa wew inafutwa napakwa nyingine akasugua sura akafuta akapka nyingine mara ya nne nikamstopisha [emoji23][emoji23]akasema na shingo nikamwambia acha akasema bas nimalizie sura nikupake Tena [emoji23][emoji23]
Nikakubali akapaka akanisugua uso akanambia dada vipi nikufanyie scrub na lips[emoji23][emoji23]nikaona mambo yashakua mengi nikamwambia nifute niondoke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote hao ni wanafunzi wangu, uchawa na upambee nauweza mie tyuuh, wengine wanaigaa.Unamkaribia Carrasco putin ujue yeye chairp wee katibu wakee!![emoji2960][emoji2960][emoji8][emoji8]!!
Eti "kinondoni na Magomeni vijana wengi wa kiume wametelezea chooni" mama m1 alisema venye kwenye media.Nn aunt[emoji1787]
Mrembooooo km mrembooooo, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]