Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,245
- 90,421
hahahahahaha nayo nzuriAcha nijipende mwenyewe tu yatosha .
hahahahahaha nayo nzuriAcha nijipende mwenyewe tu yatosha .
Yeah nzuri sanahahahahahaha nayo nzuri
hahahahahaYeah nzuri sana
"To fall in love with yourself is the first secret to happiness." - Robert Morley
Ahsanteeeeeeee!!!!Yeah nzuri sana
"To fall in love with yourself is the first secret to happiness." - Robert Morley
Hakuna siku nilikuwa nakuwa mnyonge kama siku za kurudi shule.Walimu na wanafunzi nawatakia masomo na ufundishaji mwema!!!!
Kheri na baraka ziwe kwenu.![]()
😂😂hahahahaha
Tupo wengi aiseeHakuna siku nilikuwa nakuwa mnyonge kama siku za kurudi shule.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tujipende tu sieAhsanteeeeeeee!!!!
hahahahaha,sie wengine ile kufika la 7 tu .tukatafuta mtaaTupo wengi aisee
Sikuwahi kupenda shule na nilikuwa nahuzunika kuaacha watu nyumbani .
Niliendelea na tabia hii hadi nipo chuo
Hakuna siku nilikuwa nakuwa mnyonge kama siku za kurudi shule.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

mie siku km ya leo nazururaa town, shule n j5.Tupo wengi aisee
Sikuwahi kupenda shule na nilikuwa nahuzunika kuaacha watu nyumbani .
Niliendelea na tabia hii hadi nipo chuo

shule nilikua naipenda ila ku report J3 nooo, siku yangu n J5.Life popote tuhahahahaha,sie wengine ile kufika la 7 tu .tukatafuta mtaa
Ndyoooooooooo!!!!!!Tujipende tu sie
Ukipata tu senti unajitoa date mwenyewe.

Mimi nilikuwa naenda on date labda itokee tu sababu .shule nilikua naipenda ila ku report J3 nooo, siku yangu n J5.
Yeah unaenjoy life lako mwenyewe 😂😂Ndyoooooooooo!!!!!!
Single raha sanaaaaa, una enjoy life.![]()
Bora hata Chuo nilikuwa sijisikii unyonge sana.Tupo wengi aisee
Sikuwahi kupenda shule na nilikuwa nahuzunika kuaacha watu nyumbani .
Niliendelea na tabia hii hadi nipo chuo
Watu tumelazimishwa kusoma la sivyo tungeishia la saba .Bora hata Chuo nilikuwa sijisikii unyonge sana.
Ila Secondary aisee,, sikuwahi kupenda kwenda shule...na Nilikuwa najitahidi kuvuta siku mbili tatu lakini wapi!zinakimbia haraka kama Upepo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Lile boom kidogo lilikuwa linanipa nguvu.. Japo siku za mwanzo nilikuwa najihisi unyonge sana.Watu tumelazimishwa kusoma la sivyo tungeishia la saba .
Sifa na utukufu kwa Mungu na
Pongezi kwa wazazi wetu kwa kujitoa kwao na walimu kutufundisha ili tuelewe .