Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Watafiti wengi wanakosoa data zetu haswa upande wa research.Upo sahihi kabisa mkuu. Zoezi wamelifanya liwe gumu na gharama wao wenyewe na hata kupata data kwa ufanisi ni ngumu sana, watajukuta wana garbage za kutosha. Kwa technologia ilipofikia kupata idadi ya watu kwa usahihi ni rahisi sana tofauti na njia walio chagua wai. Ila tuishi nao tu, nili wish kunesabiwa ila paka sasa hivi sijahesabiwa


