Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeambiwa home nilishahesabiwa,

Sijawahi bahatika kukutana na karani wallah,nikikutana na karani lazima nimfotoe,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann sasa umfotoe?? Si wamekatazaaa???

Mama juzi ananiambia, yaan ningekuepo home yule karani angejuta mbna, anasema wanauliza maswali mengine ambayo hayana hata umuhimu, nkachekaaaa.

Afu karani mwenyewee n mdada, mama ananambia ungekua wee kichaaa ungemsuuza had baas, uwiiiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka sanaa.
 
Back
Top Bottom