Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,947
- 177,163
Sawa Madam ukitupia Naomba uniite!! Nipoo likizo tupo tunanyang'anyana simu na junia tu hapa!!Za tabia zipo dear. Ngoja nijifotoe muone tabia njema.
Ulipotea jamani.
Sawa Madam ukitupia Naomba uniite!! Nipoo likizo tupo tunanyang'anyana simu na junia tu hapa!!Za tabia zipo dear. Ngoja nijifotoe muone tabia njema.
Ulipotea jamani.
Siasa umeanza lini mjomba lakini!!🤔🤔😉😀😀😀 sipo eneo rafiki shangazi, picha haziruhusiwi nacheza kamali 🤣🤣
Nitaachaje?Utakuwa mwenyeji wangu?
Nipo hapa kwa chini kidogo penye mti mkubwaa 😂😂Jamani jamani jamani
Kwani upo maeneo gani dyadya
Shangazi niamini 🤣🤣🤣 nimekuwa muathirika wa kamali, uniombee nitoke hukuSiasa umeanza lini mjomba lakini!!🤔🤔😉
🤣🤣🤣🤣Unaona shangazi yangu, sina picha labda badae akija mtu aniphotoe 😀😀View attachment 2335400
Kimejaaa tele 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiko kimbuzi kinaniacha hoi
Umefuta picha zote hiko umekiacha 🤣🤣Kimejaaa tele 🤣🤣
Umependezaaa🔥🔥🔥, tayari nimeweka order yako 😋😋