Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

88784E00-F8BD-4AE7-98AB-500C803EB824.jpeg
 
COCA ndo alisema ni mafungu ya nyanya mm nkamwambia ile ni rungu kama anataka kujua ni rungu apee jux kitumbua ndo atajua nikitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee kuna rungu paleee?? Au macho yako yapo holidei ya Sensa????
 
Ni cocastic
Lawama zote apewe cocastic
Narudia huu mchachuo ni wa cocastic
Tena kaweka ndimu na chchandu ya kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa, ni wee umeandika au?? Mbna mie nimepoaaa sanaaa, afu hadi watu wanasifia now nimekua nimeacha utoto. Uwiiiih
 
Mimi siyo mrefu wewe...
Mimi ni "Tall" ila sina hakika kama ni "Dark" kuna ka lotion flani natumia keusiii kama mkaa nafanya jitihada nione kama December itafika nikiwa nimefanikiwa kuwa Dark ili mama mchungaji Heaven Sent anisajiri kwenye kile chama😁

Ila bahati mbaya sina uchebe, ndevu zangu hazina ushirikiano😔
Kho kho kho khokoh kho.
 
Back
Top Bottom