Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,503
- 18,952
Njiro yote kwaanzia kontena makaburini ppf wamepita na karani wamejaa huko. Au wewe uko njiro ipi ile ya kule tindiga nini? 😂Sasa mbona Njiro hatujahesabiwa? Hata ofisini hawajapita… nyumbani pale labda gate hawakufunguliwa..
Ila Kikwakwaru wamehesabiwa, sina hakika kama Kikwakwaru ni sehemu ya Njiro, ila iko mgongoni kwa Njiro


